Barabara ya Njia nne Namanga- Tengeru mkoani Arusha mbona inasomeka ni Mradi wa EAC?

Ukiwa na wivu Sana mwishowe unajitundika

Na baada Tu ya 28 October, mtaanza kusema yaleyale ya Mbowe,Aachie ngazi
Sijui Watanzania ni waoga Sana
JPM Sjui dikiteta
Sijui Kwa nini police wametuzuia maandamano

Sababu kibaaao hakuna hata la maana

Jibu hoja acha mipasho,
Vijana wa ccm mnatia aibu Sana,

Hoja hujibiwa kwa hoja sio mipasho miiiiingi kama khadija kopa
 
Ni vizuri wananchi tukajua kiongozi wetu ni mwongo na hivyo hakuna hata jambo moja analosema la ukweli. Kwa maana hiyo tumeonyeshe kwenye box la kura kwamba hatudanganyiki na tunajitambua
 
Nimemsikia Mhe. Rais akisema barabara ya Namanga hadi Tengeru ni barabara iliyojengwa kwa usumbufu wa RC Arusha, nikipitia kwenye website na maandiko mbalimbali yanaonyesha ile ni barabara ya Afrika Mashariki na mipango yake ya ujenzi imeanza miaka mingi nyuma, aidha inaelezwa hiyo barabara itaenda hadi sehemu inaitwa Tarakea Kenya.

Najiuliza lengo la kuihusisha na Mrisho Gambo ni kwamba Mhe. ajaelezwa vizuri kuhusu huo mradi au nikuwafanya watu wa Arusha kama hawaelewi?

Wapiga kura kazi mnayo
Sijaona rais mwongo na asiyejali anachozungumza sijui anafikiri watu ni wajinga kama yeye? Nani asiyejua kuwa barabara ya Arusha-Moshi ni chini ya EAC na tena ilipaswa kuwa imefika Moshi hadi Holili ila imesimamishwa baada ya jiwe kuingia madarakani kwani maendeleo ya kaskazini anaona siyo jukumu lake na hayana maana? Mpuuzi.
 
Nimemsikia Mhe. Rais akisema barabara ya Namanga hadi Tengeru ni barabara iliyojengwa kwa usumbufu wa RC Arusha, nikipitia kwenye website na maandiko mbalimbali yanaonyesha ile ni barabara ya Afrika Mashariki na mipango yake ya ujenzi imeanza miaka mingi nyuma, aidha inaelezwa hiyo barabara itaenda hadi sehemu inaitwa Tarakea Kenya.

Najiuliza lengo la kuihusisha na Mrisho Gambo ni kwamba Mhe. ajaelezwa vizuri kuhusu huo mradi au nikuwafanya watu wa Arusha kama hawaelewi?

Wapiga kura kazi mnayo
Gambo amekuta barabara ikijengwa

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Wewe unakuwa kama humfahamu Magufuli, yeye kila kitu atataka asifiwe kuwa kafanya yeye.

Sasa subiri mwakani nchi ikishakuwa kwenye vikwazo ndio utajua mlipaji wa hiyo miradi alikuwa nani na wala haitajificha. It's just a matter of time sir/madam.
 
"Katiba hii imenipa Madaraka makubwa sana ,siku atakuja mtu ataitumia atakavyo na kuwa kama Mungu- Mwl Nyerere 1982
 
Sasa EAC ipo wapi, si inafanya kazi na Tanzania, au? Bila Magufuli hiyo EAC ingekuwepo?
EAC ipo before kikwete..imeanzishwa mkapa akiwa madarakani. Unasema bila magufuli? Yeye ndio alianzisha?
Kwa taarifa yako tu ni kuwa mradi umekuwa funded na east africa community.. na umeanza awamu ya kwanz aya kikwete.
 
Ukiwa na wivu Sana mwishowe unajitundika

Na baada Tu ya 28 October, mtaanza kusema yaleyale ya Mbowe,Aachie ngazi
Sijui Watanzania ni waoga Sana
JPM Sjui dikiteta
Sijui Kwa nini police wametuzuia maandamano

Sababu kibaaao hakuna hata la maana
Mh! Mbona ulichokomenti hakiusiani kabisa na uzi huu ...

Jamani CCM mna nini ndio mana hata kujiongoza hamuwezi inabidi mnunue viongozi kutoka upinzani sijui mpoje Ndg. Zangu poleni aseee!!!

Mleta mada kauliza swali ulipaswa mjibu ili aelewe aondokane na huo wivu pengine wivu wake ni kutokana na kutokuelewa
 
Nimemsikia Mhe. Rais akisema barabara ya Namanga hadi Tengeru ni barabara iliyojengwa kwa usumbufu wa RC Arusha, nikipitia kwenye website na maandiko mbalimbali yanaonyesha ile ni barabara ya Afrika Mashariki na mipango yake ya ujenzi imeanza miaka mingi nyuma, aidha inaelezwa hiyo barabara itaenda hadi sehemu inaitwa Tarakea Kenya.

Najiuliza lengo la kuihusisha na Mrisho Gambo ni kwamba Mhe. ajaelezwa vizuri kuhusu huo mradi au nikuwafanya watu wa Arusha kama hawaelewi?

Wapiga kura kazi mnayo
Nasisitiza,tumia akili kuwa mradi unao promote mandeleo EAC sio sababu ya Gambo kuupigia debe.
 
Nimemsikia Mhe. Rais akisema barabara ya Namanga hadi Tengeru ni barabara iliyojengwa kwa usumbufu wa RC Arusha, nikipitia kwenye website na maandiko mbalimbali yanaonyesha ile ni barabara ya Afrika Mashariki na mipango yake ya ujenzi imeanza miaka mingi nyuma, aidha inaelezwa hiyo barabara itaenda hadi sehemu inaitwa Tarakea Kenya.

Najiuliza lengo la kuihusisha na Mrisho Gambo ni kwamba Mhe. ajaelezwa vizuri kuhusu huo mradi au nikuwafanya watu wa Arusha kama hawaelewi?

Wapiga kura kazi mnayo
Aliyepewa kuandika alikosea, itasahihishwa asante kwa taarifa.
 
33 Reactions
Reply
Back
Top Bottom