Barabara ya Njia nne Namanga- Tengeru mkoani Arusha mbona inasomeka ni Mradi wa EAC?

elvischirwa

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
9,670
2,000
Nimemsikia Mhe. Rais akisema barabara ya Namanga hadi Tengeru ni barabara iliyojengwa kwa usumbufu wa RC Arusha, nikipitia kwenye website na maandiko mbalimbali yanaonyesha ile ni barabara ya Afrika Mashariki na mipango yake ya ujenzi imeanza miaka mingi nyuma, aidha inaelezwa hiyo barabara itaenda hadi sehemu inaitwa Tarakea Kenya.

Najiuliza lengo la kuihusisha na Mrisho Gambo ni kwamba Mhe. ajaelezwa vizuri kuhusu huo mradi au nikuwafanya watu wa Arusha kama hawaelewi?

Wapiga kura kazi mnayo
Aliyepewa kuandika alikosea, itasahihishwa asante kwa taarifa.
 
Chagu wa Malunde

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
8,513
2,000
Yes. Mradi umeanza 28 Nov 2012. Gambo alikuwa wapi by then?
Hapo ndio ujenzi ulianza? Na unajua huu mradi ulikuwa na phase ngapi? Na unajua unaanzia wapi? Au mmekariri hizo njia nne zilizozungumzwa leo? Tumieni akili.

Jiulize Jakaya na Uhuru walizindua alafu JPM na Uhuru wazindue tena?
 
elvischirwa

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
9,670
2,000
Hapo ndio ujenzi ulianza? Na unajua huu mradi ulikuwa na phase ngapi? Na unajua unaanzia wapi? Au mmekariri hizo njia nne zilizozungumzwa leo? Tumieni akili.

Jiulize Jakaya na Uhuru walizindua alafu JPM na Uhuru wazindue tena?
Uzinduzi wa kwanza umeeksipaya.
 
Detective J

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
13,963
2,000
Hapo ndio ujenzi ulianza? Na unajua huu mradi ulikuwa na phase ngapi? Na unajua unaanzia wapi? Au mmekariri hizo njia nne zilizozungumzwa leo? Tumieni akili.

Jiulize Jakaya na Uhuru walizindua alafu JPM na Uhuru wazindue tena?
Jibu nililokupa ni kutokana na swali ulilo uliza. Hukuniuliza una phase ngapi? Hukuniuliza unaania wapi?
Halaf kukuwe sawa tu ni kwamba sijakariri.
Nina details za mradi mzima.

Insort ni kuwa gambo amekuja juzi tu hapa. Huu mradi umeaanza way before wao. Usije anza kubend news ionekane kuwa yeye ndio alihusika. Hakunaga kitu kama hiyo man.
 
Kwa hizo four ways hapo mjini amehusika 100%.
 
NewOrder

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
1,708
2,000
Sasa EAC ipo wapi, si inafanya kazi na Tanzania, au? Bila Magufuli hiyo EAC ingekuwepo?

Wewe dada ni punguwani. EAC imeletwa na Magufuli?? Au unazungumzia barara ya njia 4??

Nchii hii ina ushamba sana. Yaani barabara ya njia nne nayo ni maajabu? Haishangazi kuona tunapokea ndege!! Tunafanya ufunguzi wa mashimo ya vyoo!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom