Barabara ya Njia nne Namanga- Tengeru mkoani Arusha mbona inasomeka ni Mradi wa EAC?

Wewe dada ni punguwani. EAC imeletwa na Magufuli?? Au unazungumzia barara ya njia 4??

Nchii hii ina ushamba sana. Yaani barabara ya njia nne nayo ni maajabu? Haishangazi kuona tunapokea ndege!! Tunafanya ufunguzi wa mashimo ya vyoo!
Unaonekana huna hata gari wewe
 
Cha umbum*um*u, jua kwamba nchi zilikuwepo hata kabla hatujazaliwa. Na zitaendelea kuwepo hapa baada ya sisi kutoweka. Mchango wako kwenye ndoa yako kwa akili yako itakuwa ni mayai yako tu. Namwonea huruma mmeo. Kwa akili yako, bila shaka utakuwa umekwisha sahau NDC ni nini.
Sasa EAC ipo wapi, si inafanya kazi na Tanzania, au? Bila Magufuli hiyo EAC ingekuwepo?
 
Nimemsikia Mhe. Rais akisema barabara ya Namanga hadi Tengeru ni barabara iliyojengwa kwa usumbufu wa RC Arusha, nikipitia kwenye website na maandiko mbalimbali yanaonyesha ile ni barabara ya Afrika Mashariki na mipango yake ya ujenzi imeanza miaka mingi nyuma, aidha inaelezwa hiyo barabara itaenda hadi sehemu inaitwa Tarakea Kenya.

Najiuliza lengo la kuihusisha na Mrisho Gambo ni kwamba Mhe. ajaelezwa vizuri kuhusu huo mradi au nikuwafanya watu wa Arusha kama hawaelewi?

Wapiga kura kazi mnayo
Kampeni za hadaa zama hizi za utandawazi nikivunjia heshima madhara makubwa yakuzungukwa nawatu wanaokupigia makofi tu kwa maslahi yao binafsi
 
Eti unasemaje? Bila nani EAC isingekuwepo?

EAC ilianza baada ya huyo uliyemtaja kuwepo madarakani?
Huyo mdada siyo wa kumchukulia serious, hajui hata NDC ni shirika la kitu gani, sasa hayo EAC atayaelewa kweli??

Everyday is Saturday............................... :cool:
 
Wewe dada ni punguwani. EAC imeletwa na Magufuli?? Au unazungumzia barara ya njia 4??

Nchii hii ina ushamba sana. Yaani barabara ya njia nne nayo ni maajabu? Haishangazi kuona tunapokea ndege!! Tunafanya ufunguzi wa mashimo ya vyoo!

achana na huuu ukooo na kibwetere wao kashakua kama Mrema
wanalamba viatu sana bila hata kuangalia mateso waliyopitia au kuwasababishia watu hadi vifo na kifilisika
hakuna heshima tena
 
Ahaaa,umepotea na acha kukariri uongo. Adb walikopesha Kenya na Tanzania. Kusema ni mradi wa EAC ni sababu una manufaaa kwa EAC nzima.
Ww ndio uache kukariri man. Mradi huwez kusema uko chini ya EAC halaf ukasema mkuu wa mkoa kasukuma.
Bullshit lies man
 
Ww ndio uache kukariri man. Mradi huwez kusema uko chini ya EAC halaf ukasema mkuu wa mkoa kasukuma.
Bullshit lies man
Hoja hapa ni nani anafinance? Mlitaka kudanganya watu kuwa EAC as a community wanafinace kitu ambacho ni uongo. Mkuu wa mkoa anasukuma mradi wowote ule maana ni muwakilishi wa rais. Bith/ shithole
 
Sasa km huo mradi ni wa EAC kwann mnamlaumu rais kuwa ameukatisha tengeru badala ya kuufukisha holili? Ni kwann bas msiilaumu iyo jumuia yenye mradi wake na mnamlaumu rais Magufuli?
 
Back
Top Bottom