bcsolution
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 394
- 177
Habari wanajamii, hivi kuendelea kwa mvua kunyesha na barabara nyinyi za mjini kuharibika nani alaumiwe? Wahusika wako wapi? Wanasubiri nini? Leo asubuhi nimevunja kitu chini ya gari yangu hata sijui kitu gani maana nimekwepa mashimo mpaka mengine yakawa hayakwepeki, kodi tunalipa.
Sasa wanashindwa kuweka hata vifusi tupite kama lami imewashinda? Kwani walikuwa hawajui kama mvua zipo? hawakuweka fungu la kurekebisha roads, pale round about karibu na dtv kuna shimo limezibwa na taka pale, mi naona bora iwe hivo mashimo yote tujaze taka tu ndo solution au kwa kuwa wao wana malandcruiser sie vi corola.