Barabara mbovu Dar mjini nani alaumiwe?

Barabara mbovu Dar mjini nani alaumiwe?

Hivi wakazi wa upanga wana hata diwani kweli?

Barabara zina mashimo hara kupitidha greda?

Huko kariakoo mishimk barabarani utafikiri mahandaki
 
Unajua kitu inaitwa 10% wewe??

Barabara kama vitu vingine vinavyolipiwa pesa kujengwa au kununuliwa, ni lazima vinakuwa na 'lifespan'.
Kwa Tanzania kichekesho kinakuja pale Kilomita moja inapogharimu Sh. 1b lakini barabara inadumu kwa msimu mmoja tu! Maana hata hizo za molam huwa zinadumu walau misimu miwili.
Cha kusikitisha zaidi ni pale unapoenda kwa majirani kama Rwanda, Kenya, Zambia nk, wao utakuta barabara imegharimu 600m lakini inadumu walau miaka 10! (Refer mradi wa Arusha - Namanga - Athi River).
Ndio maana kiuchumi wanasema kudaiwa sio vibaya lakini nchi zinazodaiwa trillion 40 zimefanya maendeleo makubwa na sustainable tofauti na viinimacho vyetu.
Nini kifanyike... sijui!
 
La mwisho hii barabara ya chang'ombe ikiyopanuliwa juzi juzi kwa mbwembwe kubwa.... mbona kulikopanuliwa kuna mahandaki????? Walitumia mchanga badala ya lami?

Aibu!!!
 
Ndo maana wanaondoka tz kwenda ughaibuni huwa hawataki kurudi...this is too much ...hamna uzalendo...wizi tu..na hamna kuwawajibisha wahusika.
 
hivi hizo barabara kama hazitakuwa na mashimo si mtapita mbio bila ya kumuona muheshimiwa meya wa manispaa kwenye bango akiwakonyenza wapenzi wenu?.
 
Hivi wakazi wa upanga wana hata diwani kweli?

Barabara zina mashimo hara kupitidha greda?

Huko kariakoo mishimk barabarani utafikiri mahandaki

Jimbo la Ukonga ni aibuu. Kuna mahandaki.
 
Ndo maana wanaondoka tz kwenda ughaibuni huwa hawataki kurudi...this is too much ...hamna uzalendo...wizi tu..na hamna kuwawajibisha wahusika.

Chukua Chako Mapema ni ukoo wa panya. Baba mwizi, mama mwizi, dada mwizi, kaka mwizi, shangazi mwizi, na hata mjomba mwizi sasa wa kumuuliza mwenzake nani? Wooote wameoza wanafikiria matumbo yao tu 10% zinalitafuna taifa, kama Dar Es Salaam barabara ziko hivyo je unafikiri masagati zikoje?
 
Mkwe mbona naye umemsahau?
 
La mwisho hii barabara ya chang'ombe ikiyopanuliwa juzi juzi kwa mbwembwe kubwa.... mbona kulikopanuliwa kuna mahandaki????? Walitumia mchanga badala ya lami?

Aibu!!!

la mwisho liwe Kigamboni mkuu... ni shida...halafu nikaambiwa na diwani anaishi pale Mikadi...yaani kila siku anapita kwenye lile likorongo pale Mikadi...! waiii

banner.png

getresource.axd

5741955315_1968b94d34_b.jpg

1338622620-nairobithika-superhighway-gets-road-markings_1215526.jpg

Mkuu umenitia majonzi aisee...hawa jamaa wako serious sana.. hii project nadhani ilianza 2009 hivi ona leo wanafaidi..hardly four years ilikamilika. sisi sijui ni nini shida!
 
la mwisho liwe Kigamboni mkuu... ni shida...halafu nikaambiwa na diwani anaishi pale Mikadi...yaani kila siku anapita kwenye lile likorongo pale Mikadi...! waiii

Mkuu umenitia majonzi aisee...hawa jamaa wako serious sana.. hii project nadhani ilianza 2009 hivi ona leo wanafaidi..hardly four years ilikamilika. sisi sijui ni nini shida!

Dah inatia aibu hapa tz
 
Wacha sisi tuendelee kuvuta shuka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom