Bar inayotembea

Bar inayotembea

Jitu la kienyeji

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2014
Posts
4,409
Reaction score
7,912
Pichani Zinaitwa Beer Bar Bike, au Party Bike, Ni Bar zinazotembea Mtaani, zinapatikana katika Miji Mingi Kama Amsterdam Uholanzi, Laguna Ufilipino Pamoja na Arizona Marekani. Zina majina mengi sana kama vile a party bike, pedal crawler, pedal pub au beer bike. Zilizinduliwa rasmi mwaka 1997 na kampuni ya Het Fiescafe BV ya Uholanzi. Zipo za kutosha watu 10, 15, 20 au zaidi.

Bar hizi zinazotembea zipo za aina mbili, zipo zenye pedal kama baiskeli na zipo pia zenye injini kama bajaji, zimesambaa katika miji mingi duniani.


FB_IMG_1624218082131.jpg
 
Naona zije huku kuna mzee anazungukaga na bia akiotea hela ili aonekane yumo,hii ingemfaa sana
 
Pichani Zinaitwa Beer Bar Bike, au Party Bike, Ni Bar Zinazotembea Mtaani, Zinapatikana Katika Miji Mingi Kama Amsterdam Uholanzi, Laguna Ufilipino Pamoja na Arizona Marekani.Zina majina mengi sana kama vile a party bike, pedal crawler, pedal pub au beer bike. Zilizinduliwa rasmi mwaka 1997 na kampuni ya Het Fiescafe BV ya Uholanzi. Zipo za kutosha watu 10, 15, 20 au zaidi.
Bar hizi zinazotembea zipo za aina mbili, zipo zenye pedal kama baiskeli na zipo pia zenye injini kama bajaji, zimesambaa katika miji mingi duniani.View attachment 1824921
Ajali zitaongezeka aisee.

Walevi wakaamua kutoka Buza kuja Posta. Sijui itakuwaje huko barabarani
 
Back
Top Bottom