Bao la mkono lavunja !

Bao la mkono lavunja !

tamimusalim

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2014
Posts
1,822
Reaction score
501
ImageUploadedByJamiiForums1439450456.019641.jpg
 
TEH CYBERCRIME.. bado haijaanza eh...
 
​atakuwa alikuwa anapigia kwenye sink la vioo vikamkata
 
​atakuwa alikuwa anapigia kwenye sink la vioo vikamkata
Huyu jamaa kumbe ni kweli anafanyaga "iyo mambo"
Alipokuwa akizungumzia bao la mkono mi nilijua ni masikhara tu....
Inaelekea hilo bao lilikuwa tamu kweli hadi alijisahau matokeo yake ndo hivo tena
Angekwenda dodoma na mkewe yasingetokea hayo
 
picha na captions yake..mhh jela zitajaa had october


Si ndiyo lengo la kutunga hiyo sheria? Unafikiri imepitishwa kwa kazi gani?
Jamaa wanampango wakuwapunuguza wapiga kura viherehere ila wanajishau kuwa utakapo wapeleka viherehere hao Keko ndiyo unaharibu kabisa.
Elimu itakayoendelea humo ndani ya gereza wakitoka nje usiombe!

 
Hhahahahahaaaa nimesomaaa nilikuwa sijaelewa watu wanacheka nini, baada ya kusoma comments na kuiangalia picha tena nikajikuta nacheka kwanguvu ha ha ha ha ha ha haaaaaa, kweli ngono tamu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom