Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,664
akakatwe tu
Bado uwanja ni wetu, hiyo kitu itaanza tarehe 1/9/2015.TEH CYBERCRIME.. bado haijaanza eh...
TEH CYBERCRIME.. bado haijaanza eh...
Hhahahahahaaaa nimesomaaa nilikuwa sijaelewa watu wanacheka nini, baada ya kusoma comments na kuiangalia picha tena nikajikuta nacheka kwanguvu ha ha ha ha ha ha haaaaaa, kweli ngono tamu
teh we jidai hujaelewa...:biggrin1:
Seriously sijaona kama hapo kuna tatzio labda nifafanulie kifungu hata kidg
hata mie sijakariri vifungu vyote in details..but hii post inaeza ikaingia kwenye kile kifungu cha kuzalilisha caption na picha haviendani kabsa so mlengwa akilalamika inaweza kumtia mtu matatani mu-sir
hahahahah mmh tungo tata hii:A S 103:
Bado uwanja ni wetu, hiyo kitu itaanza tarehe 1/9/2015.
Itakapofika siku hiyo inawezekana Segerea ikaanza kujaza wahanga wa sheria hiyo kutoka JF
Ngono sio tamu kama bao la mkono
khaaaaaa heheheeee
ahaaaaa!Matokeo yake kateleza bafuni!
lakuvunda halina ubani.
haya sasa bao la mkono limemvunja mkono Nape Nnauye akiwa bafuni.