Ahsante love kwa kujali hisia zangu juu yako... Husninyo lazima azimike ukizingatia wewe ndiye uliyekuwa unamweka hapa mjini?.. Uporoto yenyewe kafulia, daah namhurumia husni asee!Uskonde switihati, tayari nimekodi suti la koffi olomide, suti la bujibuji halinifai si unajua jamaa ana kitambi. Husninyo akisoma hii post lazima tu atapoteza faham
Uskonde switihati, tayari nimekodi suti la koffi olomide, suti la bujibuji halinifai si unajua jamaa ana kitambi. Husninyo akisoma hii post lazima tu atapoteza faham
Dah! mzembe kaibuka ka uyoga! halaf Husninyo kwa maajabu bana, mala hii kaamua atoke na mizizi.Mmmmh nini na ww, au ndio kinakuwasha tena, au umesahau kama uko ingejidi? Tulia mtoto wa kike lol!
Mmmmh nini na ww, au ndio kinakuwasha tena, au umesahau kama uko ingejidi? Tulia mtoto wa kike lol!
Uskonde switihati, tayari nimekodi suti la koffi olomide, suti la bujibuji halinifai si unajua jamaa ana kitambi. Husninyo akisoma hii post lazima tu atapoteza faham
hehehe hapo red ilitakiwa isomeke "kuchakachuana"
Ni mimi mkufunzi mstaafu wa Bakita.
Hahaha! Swahiba nakupendeaga hapo tu, una majibu wazungu tunaita short and clear... Mzembe atakuwa kakusoma!...nasubiri kupigiwa..swahiba nina ujumbe wako kwanza. Nitakupgia b'dae tuongee. Mwambie huyo mzembe raha ya jf ni kuchakachua tu.
Itakuwa mizizi ya mwarobaini asee....lolDah! mzembe kaibuka ka uyoga! halaf Husninyo kwa maajabu bana, mala hii kaamua atoke na mizizi.
Supilini na wewe umekuwa PAW?
Ww acha kusema vya watu! Kama ulikuwa umepewa kumega kisela ndio ujionyeshe hadharani? Kama ulipewa basi Husninyo ana wake, shetani tu alimpitia!!
Mbaya zaid kagonganisha boda boda na kruza mkonge!...atapona mtu kweli hapa?duh! Husninyo kagonganisha.
khaaaaa!...' wantamanisha'umezoea kuchakachuana? Nifundishe na mimi.
heeee! We mizizi wewe.
Mbaya zaid kagonganisha boda boda na kruza mkonge!...atapona mtu kweli hapa?
Khaaa! We mkare!za mwizi arobaini, mi nilihisi tu naibiwa! Yaani mtu ukiwa unaibiwa utajua tu! Mara oh tumbo mie leo sijiskii ku do, mara leo kicheni pati ya sweetlady wanaume hawaendi naenda peke yangu, dah kumbe nilikuwa naumizwa kote huko. Sasa ww firstlady em nieleze, kweli ulishawahi kuwa na kichenpati?
Anaweza kupata mimba kwa kupita njia tu?We pita tu, ukipata mimba usinilaumu!!