Hizi hazipiti UTUMISHI ?
Wakati Mbowe anafanya hapo BoT alikuwa na GPA ya ngapi?Si ndo huwa mnadanganyana kuwa GPA si kitu?
JK mwenyewe alipata zake Gentleman(3rd class) na akawa rais sembuse hao wa Upper 2nd na kua makarani Hahah.Si ndo huwa mnadanganyana kuwa GPA si kitu?
Let's be practical-kwa analysis ya kawaida in 2019 ni asilimia ngapi ya kazi zilizotangazwa Tanzania ambazo qualifications za kuajiriwa zilizingatia GPA ukiachilia ngazi ya ualimu vyuoni?Myself I don't think they exceeded even 1% out of 100 percent-meaning they are too insignificant in such away that they don't deserve to be discussed here.Si ndo huwa mnadanganyana kuwa GPA si kitu?
mawazo ya kukata tamaa na story za vijiweni.kila nafasi imeshachukuliwa? hao wanaotoboa usaili huwa wanakuwa wapi?Hii ni formality tu
Kiuhalisia hizo nafasi asilimia kubwa zimeshachukuliwa.
Yani hata 2nd upper huna? Ningekua niko BOT ningependekeza GPA iwe 4.5 net.Hizi criteria na zenyewe lazima ziwe regulated na serikali otherwise hazimsaidii graduate wa Tanzania kupata kazi kwa kumtengenezea mazingira wezeshi.Mfano hili Tangazo la BOT ni changamoto sana manake mtu unaweza kuta ana 2nd Class au pengine 1st Class lakini anakuwa hawezi ku qualify sababu siyo fresh graduate au ana 2nd class lakini ana experience ya more than 3 yrs ambayo ipo nje ya qualifications-Huku ni kumtengenezea mazingira magumu mno graduate.
Kuna raia wataminyana hapo wakati ma boss wana vijana wao tayariHii ni formality tu
Kiuhalisia hizo nafasi asilimia kubwa zimeshachukuliwa.
Mkuu ulienda shule ukasoma na kuelimika kweli? Umesoma na kuelewa nilichokiandika au unaleta cheap argument? Kwa hiyo ukiwa na GPA ya 5 uliyoipata let's say 2015 na experience ya bank ya 5 yrs ndo una qualify kuitwa kwenye interview?Yani hata 2nd upper huna? Ningekua niko BOT ningependekeza GPA iwe 4.5 net.
"Bachelor’s Degree in Banking, Business Administration or Finance from accredited institutions with at least upper second class.Mkuu ulienda shule ukasoma na kuelimika kweli? Umesoma na kuelewa nilichokiandika au unaleta cheap argument? Kwa hiyo ukiwa na GPA ya 5 uliyoipata let's say 2015 na experience ya bank ya 5 yrs ndo una qualify kuitwa kwenye interview?
Lia lia unaishi kwa historia? Vipanga wanaenda kula shavu Central Bank😂😂😂Let's be practical-kwa analysis ya kawaida in 2019 ni asilimia ngapi ya kazi zilizotangazwa Tanzania ambazo qualifications za kuajiriwa zilizingatia GPA ukiachilia ngazi ya ualimu vyuoni?Myself I don't think they exceeded even 1% out of 100 percent-meaning they are too insignificant in such away that they don't deserve to be discussed here.
We fala unajipigia Chapuo kama ulikua unashindwa kuelewa vitu alivyokua anafundisha mwalimu Darasani ndo utakua mzuri kazini??? Wewe ni Kilaza tuu endelea kukaaa kwenye Makochi yenu.Hizi criteria na zenyewe lazima ziwe regulated na serikali otherwise hazimsaidii graduate wa Tanzania kupata kazi kwa kumtengenezea mazingira wezeshi.Mfano hili Tangazo la BOT ni changamoto sana manake mtu unaweza kuta ana 2nd Class au pengine 1st Class lakini anakuwa hawezi ku qualify sababu siyo fresh graduate au ana 2nd class lakini ana experience ya more than 3 yrs ambayo ipo nje ya qualifications-Huku ni kumtengenezea mazingira magumu mno graduate.