Bank kuu yamwaga Ajira kwa vijana wenye Sifa

We fala unajipigia Chapuo kama ulikua unashindwa kuelewa vitu alivyokua anafundisha mwalimu Darasani ndo utakua mzuri kazini??? Wewe ni Kilaza tuu endelea kukaaa kwenye Makochi yenu.
Akili zako na akili za mwendazake hazina tofauti 🤣 🤣 🤣 .
 
GPA ina umuhimu wake kwenye labour market asikuambie mtu. Zile kauli za GPA haina faida ni ushenzi na ufala tu wa ujana na ujanja ujanja usio na msingi vyuoni. Nendeni vijana mkapambane tuonane Mirambo street
 
We fala unajipigia Chapuo kama ulikua unashindwa kuelewa vitu alivyokua anafundisha mwalimu Darasani ndo utakua mzuri kazini??? Wewe ni Kilaza tuu endelea kukaaa kwenye Makochi yenu.
Hhahahaaaa . . eti endelea kukaa kwenye makochi yenu. Yaani JF hii raha sana
 
Taasisi kubwa kama BOT lazima mtu atume maombi kupitia Posta? Kwenye Dunia ya leo ya Teknolojia.
Ushamba tu.
 
Utoke Kigoma upeleke barua BOT kwa mkono?
Sasa kaka unabisha nini...fatilia basi aina za anuani ujue zipi za kupeleka kwa mkono au kwa posta maana unabisha bila kuwa na uelewa wa adress types...ndio maana mnakosa kazi hivyohivyo...unapeleka posta barua inafika muda wa recruit umepita...by the way walikuw wanaruhusu watu kupelekeana , u just submit the envelope and register the name ...
 
Mi na gettlemen GPA yangu CV yangu ntapeleka popote itakapohitajika, nikatwe tu hata BOT ni vile nmechelewa 😁😁
 
Sasa kaka unabisha nini...fatilia basi aina za anuani ujue zipi za kupeleka kwa mkono au kwa posta maana unabisha bila kuwa na uelewa wa adress types...ndio maana mnakosa kazi hivyohivyo...unapeleka posta barua inafika muda wa recruit umepita...by the way walikuw wanaruhusu watu kupelekeana , u just submit the envelope and register the name ...
Ukitumia EMS au City Urgent Mail inafika haraka tu; hakuna sehemu waliyosema upeleke kwa mkono.
 
Nilifanya interview moja ya warehouse kwenye taasisi moja hapa nchini, vigezo ilikuwa uwe na bachelor degree in procurement au material management au transport and logistics na uwe umesajiliwa na bodi ya manunuzi.

Mwisho wa siku walichukua darasa la saba, mwenyeji wa kagera (bukoba)

Ndipo nilipojua elimu si kitu mbele ya ukabila

Niishie hapa kwa leo....
 
Back
Top Bottom