Nashauri Benki Kuu iwekewe mandate ya kukuza ajira nchini

Kamundu

Platinum Member
Nov 22, 2006
6,609
8,753
Tatizo kubwa la uchumi wa Tanzania ni ajira. Kukuza ajira kunahitaji makampuni binafsi kukuwa. Makampuni binafsi kukuwa yanahitaji mikopo nafuu.

Tatito tulilo nalo bank kuu imepewa mandate sijui kwa kiswahili ni nini ya kupunguza mfumuko wa bei lakini wanatakiwa kuongezewa mandate ya kuongeza ajira.

Mfumuko wa bei kuwa chini sana maana yake bank kuu inazuia utoaji zaidi wa mkopo ambao unapunguza ajira. Bank ya tanzania imepewa lengo la asilimia 3% ambayo ingekuwa sawa kama kazi zingekuwepo.

Wenzetu wa USA wana lengo la 2% lakini kwao wenye ajira ni 97% wasio na ajira ni 3% kwa wenye umri wa kufanya kazi wakati Tanzania wasio na kazi ni zaidi ya 25%! sasa kuweka lengo la 3% la mfumuko wa bei halina tija kwa taifa.



View: https://youtu.be/QqGEppkd1ZU?si=Hu0zcZ_M0AoPcT25
 
Back
Top Bottom