Bank kuu yamwaga Ajira kwa vijana wenye Sifa

Si ndo huwa mnadanganyana kuwa GPA si kitu?
Let's be practical-kwa analysis ya kawaida in 2019 ni asilimia ngapi ya kazi zilizotangazwa Tanzania ambazo qualifications za kuajiriwa zilizingatia GPA ukiachilia ngazi ya ualimu vyuoni?Myself I don't think they exceeded even 1% out of 100 percent-meaning they are too insignificant in such away that they don't deserve to be discussed here.
 
Hizi criteria na zenyewe lazima ziwe regulated na serikali otherwise hazimsaidii graduate wa Tanzania kupata kazi kwa kumtengenezea mazingira wezeshi.Mfano hili Tangazo la BOT ni changamoto sana manake mtu unaweza kuta ana 2nd Class au pengine 1st Class lakini anakuwa hawezi ku qualify sababu siyo fresh graduate au ana 2nd class lakini ana experience ya more than 3 yrs ambayo ipo nje ya qualifications-Huku ni kumtengenezea mazingira magumu mno graduate.
 
Yani hata 2nd upper huna? Ningekua niko BOT ningependekeza GPA iwe 4.5 net.
 
Mkuu ulienda shule ukasoma na kuelimika kweli? Umesoma na kuelewa nilichokiandika au unaleta cheap argument? Kwa hiyo ukiwa na GPA ya 5 uliyoipata let's say 2015 na experience ya bank ya 5 yrs ndo una qualify kuitwa kwenye interview?
 
"Bachelor’s Degree in Banking, Business Administration or Finance from accredited institutions with at least upper second class.
 Fresh graduate or with experience of not more than three (3) years."
 
Let's be practical-kwa analysis ya kawaida in 2019 ni asilimia ngapi ya kazi zilizotangazwa Tanzania ambazo qualifications za kuajiriwa zilizingatia GPA ukiachilia ngazi ya ualimu vyuoni?Myself I don't think they exceeded even 1% out of 100 percent-meaning they are too insignificant in such away that they don't deserve to be discussed here.
Lia lia unaishi kwa historia? Vipanga wanaenda kula shavu Central Bank😂😂😂
 
Hizi criteria na zenyewe lazima ziwe regulated na serikali otherwise hazimsaidii graduate wa Tanzania kupata kazi kwa kumtengenezea mazingira wezeshi.Mfano hili Tangazo la BOT ni changamoto sana manake mtu unaweza kuta ana 2nd Class au pengine 1st Class lakini anakuwa hawezi ku qualify sababu siyo fresh graduate au ana 2nd class lakini ana experience ya more than 3 yrs ambayo ipo nje ya qualifications-Huku ni kumtengenezea mazingira magumu mno graduate.
We fala unajipigia Chapuo kama ulikua unashindwa kuelewa vitu alivyokua anafundisha mwalimu Darasani ndo utakua mzuri kazini??? Wewe ni Kilaza tuu endelea kukaaa kwenye Makochi yenu.
 
Back
Top Bottom