Bango kubwa la Puttin lawekwa New York' Marekani

Bango kubwa la Puttin lawekwa New York' Marekani

imefahamika walioweka hilo bango ni vijana wawili wa kirusi na wameshahojiwa tayari. bila shaka walitumwa na putin ili kutafuta kiki, ngoja tusubiri ripoti kamili
 
Hilo bango ni Shule tosha mno kwa Taifa haramu,Marekani na vibaraka wake. Wapo wamarekani ambao wameshachoshwa na huu utawala wa kibabe unaovuruga amani na kusababisha machafuko makubwa ktk nchi za watu hapa duniani hususan Middle East, haikutosha hiyo wakaunda tena kikundi cha isis na kupelekea amani kutoweka, innocent people kuuawa na wengine kuyakimbia makazi yao.' Laanatullaha A'laihim.

Mkuu, mimi nikiona some members wanashabikia Taifa la kidhalimu kama hilo, nabaki najiuliza maswali mengi sana - kuna member fulani huyo aliniacha hoi - anasema Wamerikani ni watu wema sana!! Taifa letu likikumbwa na baa la njaa wanaweza kutupatia msaada wa chakula cha mahindi aina ya yellow corn!!
 
Sidhani kama mnawajua wamarekani vzuri.don't ever play with American they will never fall down .
 
Kabla hujaangalia America kama nchi jaribu kuangalia wanasayansi na wanajensi waamerika ni watu Wa aina gani au origin yao ni nchi gan then think twice.
 
Sidhani kama mnawajua wamarekani vzuri.don't ever play with American they will never fall down .
Kwani we unawajua Warusi au unajifurahisha,uliza Mrusi amewahi shindwa vita gani aliyoisimamia kama kangaroo,na huyo mmarekani ameshindwa vita ngapi?
Russia ndo father
Father
Father.
 
Back
Top Bottom