Asante Mungu kwa kumleta Magufuli katika wakati muafakaMakubwa yamezidi kugundulika kwenye sakata la upotevu wa makontena Bandari ya Dar na sasa inadaiwa kuwa kuna nyakati wahusika wamewahi kufuta kumbukumbu za meli nzima ya makontena na kuiba makontena yote.
Taarifa hizo zinavuja wakati kukiwa na mvutano kati ya chama cha Mawakala wa Forodha Tanzania (TAFFA) kinachodai kutohusika kwa namna yoyote na upotevu wa makontena zaidi ya 11,000 ambayo hayakulipiwa ushuru bandarini (Wharfage charges).
TAFFA wanaitaka Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), kuwajibika katika upotevu huo ulioinyima Serikali kupitia mamlaka hiyo mabilioni ya fedha.
Chanzo: Raia Tanzania
Ndugu naomba tuone ukweli, baada ya ile video youtube ikionyesha mtoto wa mkwere teenager akimtukana Lowasa na akijivunia mamlaka ya baba yake na ccm, kuanzia pale nikaamini mkwere alikuwa anaishirikisha familia yake kufanya maamuzi kuhusu taifa. Hivyo nguvu ya Riz 1 etc ilikuwepo ktk utawala wa jk.Semeni babaake, Riz1 hakuwa na madaraka.
duniani kungekuwa na chuo cha ufisadi wahadhiri wazuri na wa kiwango cha kuaminika wangetoka tanzania
Unaua nyoka kwa kunzia kichwa.Ndugu naomba tuone ukweli, baada ya ile video youtube ikionyesha mtoto wa mkwere teenager akimtukana Lowasa na akijivunia mamlaka ya baba yake na ccm, kuanzia pale nikaamini mkwere alikuwa anaishirikisha familia yake kufanya maamuzi kuhusu taifa. Hivyo nguvu ya Riz 1 etc ilikuwepo ktk utawala wa jk.
Nadhani wewe ni hizi products za big results now (born), maana unashindwa kuelewa kwamba mzigo ulioshushwa bandarini kwa meli moja ndio unaozungumziwa hapa, na sio lazima uwe mzigo uliobebwa kwenye meli.HII Ni saisa...Hakuna meli imewahi kupakua mzigo wote kwenye bandari ya Dar...Labda iwe boti kutoka Zanzibar
Tutumie walau common sense
Hahahahahaaaaa!Vipi bandari ipo lakini?
weka uelewa wako vizuri wewe...kwa tafsiri yako basi inaweza kuwa hata makontena 10.will it be a big issue then?Nadhani wewe ni hizi products za big results now (born), maana unashindwa kuelewa kwamba mzigo ulioshushwa bandarini kwa meli moja ndio unaozungumziwa hapa, na sio lazima uwe mzigo uliobebwa kwenye meli.
Huyo anaitwa masopakyinditukuulize wewe ulikuwa na malengo gani wakati sisi tunakosoa utawala wa jk wewe ulikuwa ukitetea kwa nguvu zote...mnafki kaa kimya
hahaaaaa!KWELI RIDHIWANI ANGEIMALIZA NCHI
Utawala wa ccm ni zaidi ya jangaMakubwa yamezidi kugundulika kwenye sakata la upotevu wa makontena Bandari ya Dar na sasa inadaiwa kuwa kuna nyakati wahusika wamewahi kufuta kumbukumbu za meli nzima ya makontena na kuiba makontena yote.
Taarifa hizo zinavuja wakati kukiwa na mvutano kati ya chama cha Mawakala wa Forodha Tanzania (TAFFA) kinachodai kutohusika kwa namna yoyote na upotevu wa makontena zaidi ya 11,000 ambayo hayakulipiwa ushuru bandarini (Wharfage charges).
TAFFA wanaitaka Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), kuwajibika katika upotevu huo ulioinyima Serikali kupitia mamlaka hiyo mabilioni ya fedha.
Chanzo: Raia Tanzania
Kwenu kazulamimba yakoSina neno wacha nikalisome kwanza
=ccm=Usanii mbele kwa mbele!