Bandarini si wizi bali kufuru: Meli nzima 'yaibiwa'

Bandarini si wizi bali kufuru: Meli nzima 'yaibiwa'

Mmmmh! Shughuli pevu si mchezo. Ama kweli ni Tanzania mtelemko.
 
12400789_1020094598054998_9084659435735087752_n.jpg
[/QUdahhh
dahh hii nchi NUX,.....sana,..jk c mchezoooo sasa hivi alikuwa rais kweli ama niajeeeeeeee huyu jamaa vipi asee jk,..mpuuz
 
Nchi ilikuwa shamba la Bibi kila mmoja anavuna tu.
 
Ule utawala wa JK ungeendelea miaka 5 mbele hata bandari yenyewe ingepotea kwenye mazingira ya kutatanisha, tungeambiwa imemezwa na bahari na hakuna kuhoji.
 
Inawezekana vipi mizigo ya meli nzima "kupotea" kupitia mikono ya TPA?

HII Ni saisa...Hakuna meli imewahi kupakua mzigo wote kwenye bandari ya Dar...Labda iwe boti kutoka Zanzibar

Tutumie walau common sense
 
Riz moko na washirika wake wangetufirisi kama taifa
 
Kwamba haya yamefanyika chini ya uongozi wa Kamishina Mstaafu wa Kanda maalum? pamoja na mzee wa intelijensia?
 
Bado jipu la meli za ngano na mafuta ya petrol na kula
Humo ni aibu
Watasema Magu anawaonea kwa sababu wao ni ........!
 
Back
Top Bottom