Bandarini si wizi bali kufuru: Meli nzima 'yaibiwa'

Bandarini si wizi bali kufuru: Meli nzima 'yaibiwa'

HII Ni saisa...Hakuna meli imewahi kupakua mzigo wote kwenye bandari ya Dar...Labda iwe boti kutoka Zanzibar

Tutumie walau common sense
HII Ni saisa...Hakuna meli imewahi kupakua mzigo wote kwenye bandari ya Dar...Labda iwe boti kutoka Zanzibar

Tutumie walau common sense
kuwa mpole mpaka taarifa ikamilike! Kwa ccm hakuna kinachoshindikana
 
HII Ni saisa...Hakuna meli imewahi kupakua mzigo wote kwenye bandari ya Dar...Labda iwe boti kutoka Zanzibar

Tutumie walau common sense
It is true..hakuna meli inayotia nanga Dsm port na mizigo ya Tanzania pekee. mingine hushushiwa Nacala portu Mozambique, Durban au Port Elizabeth South Africa .labda meli yenyewe iwe ya sukari.
 
Makubwa yamezidi kugundulika kwenye sakata la upotevu wa makontena Bandari ya Dar na sasa inadaiwa kuwa kuna nyakati wahusika wamewahi kufuta kumbukumbu za meli nzima ya makontena na kuiba makontena yote.

Taarifa hizo zinavuja wakati kukiwa na mvutano kati ya chama cha Mawakala wa Forodha Tanzania (TAFFA) kinachodai kutohusika kwa namna yoyote na upotevu wa makontena zaidi ya 11,000 ambayo hayakulipiwa ushuru bandarini (Wharfage charges).

TAFFA wanaitaka Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), kuwajibika katika upotevu huo ulioinyima Serikali kupitia mamlaka hiyo mabilioni ya fedha.

Chanzo: Raia Tanzania
hapo ni katika kutafuta unafuu wa majukumu hasa yanayowabana wahusika wa upotevu wa makontena..😡
 
dah???? ya bandarini ni kama kitimoto vile.

Wanachomana wenyeweeeee.....

Mi yangu macho tu, masikio yote kwa Ombeni Sefue
 
Mambo yafuatayo yafanyike haraka iwezekanavyo(1) yajengwe masanamu ya mzee wetu magufuli na waziri mkuu majaliwa sehemu nyingi kule bandarini na hasa pale geti namba tano.na pia pale bandarini kijengwe ka ikulu kadogo iki hoa wazee wetu magufuli na maajaaliwa wawe hawachezi mbali .unajua sote tumwshatumia mbinu za kufurusha ngedere na ndege kwenye mashamba ni kuwaekea vinyago na Zikifanikiwa maana watakapo ona sanamu hizo wataogopa watadhani ndio wenyewe halisi
 
TPA wanaweza uza IKULU.... wanatisha sana... hata shetani anawashangaa..
 
KWELI RIDHIWANI ANGEIMALIZA NCHI
Sishangai nyumba zao na zile hotel zilikuwa zina jengewa huko China na kuletwa vipande vipande vya kuunganisha vikiwa tayari. Kwa ujenzi wa namna hiyo hata Meli 10 zingepotea bila shida. Nashauri Bandari ya Tanga ikafanyiwe ukaguzi wa kutosha tokea mwaka 2005. Tutasikia mengi sana..!!
 
HII Ni saisa...Hakuna meli imewahi kupakua mzigo wote kwenye bandari ya Dar...Labda iwe boti kutoka Zanzibar

Tutumie walau common sense
Hebu lete uthibitisho mkuu ili ueleweke vizuri
 
Inawezekana vipi mizigo ya meli nzima "kupotea" kupitia mikono ya TPA?
Akili yangu inaanza kuamini kwamba kama ni kweli makontena zaidi ya 11,000 na magari 2,000 yalipitishwa bila kulipia tozo stahiki. Kumbe kameli kamoja ni kitu gani. Nchi inapozama katika lindi la rushwa na ufisadi kila jambo linawezekana. Namkumbuka Hayati Mwl Nyrere aliwahi kusema popote duniani serikali corrupt haikusanyi kodi, itabaki kukimbizana na akina mama nitilie barabrani lakini si wafanyabiashara wakubwa.
 
Wabongo walikuwa wamebakiza kuiba bandari yote na kuipeleka kusikojukikana. Chezea Tanzania wewe.
 
Makubwa yamezidi kugundulika kwenye sakata la upotevu wa makontena Bandari ya Dar na sasa inadaiwa kuwa kuna nyakati wahusika wamewahi kufuta kumbukumbu za meli nzima ya makontena na kuiba makontena yote.
ukweli kwenye hii stori hii ni mdogo. Je meli hii ilifunga upande wa TPA au Ticts? Ina maaña mzigo ulikuwa wa Tanzania tu au na ule wa transit uliibiwa?....mhhh ukweli wa taarifa inatia shaka

Kwa mzigo toka znz inawezekana hasa pale kituo cha abiria ni jipu lingine kwani kuna wakati makarani wa pale hata risiti hawatoi kama una mzigo mnamalizana nao kabla ya kufika ofisini sijui TPA inapata nini pale!
 
Akili yangu inaanza kuamini kwamba kama ni kweli makontena zaidi ya 11,000 na magari 2,000 yalipitishwa bila kulipia tozo stahiki. Kumbe kameli kamoja ni kitu gani. Nchi inapozama katika lindi la rushwa na ufisadi kila jambo linawezekana. Namkumbuka Hayati Mwl Nyrere aliwahi kusema popote duniani serikali corrupt haikusanyi kodi, itabaki kukimbizana na akina mama nitilie barabrani lakini si wafanyabiashara wakubwa.
...exactly....mambo yanayofanywa na serikali ya JPM sasa yanathibitisha kuwa srikali ya mkwere ilikuwa very corrupt....na ni kweli walikuwa wanafukuzana na kina mama ntilie na bodaboda huku meli zikipakuliwa nzima nzima bure bandarini...huu ni uthibitisho wa serikali hiyo kuwa very very corrupt...maana walikuwa hawakusanyi kodi inavyostahili....na pesa kidogo iliyokuwa inapatikana ndio hiyo ilikuwa inapondwa kwenye starehe za safari za nje kwa first class na masherehe ya kufuru na kulipana fadhila za ajabu ajabu...mimi nasema mwaka huu mengi tutasikia....maana JPM ndio ameanza kazi.....ndio maana sishangai kuwaona majamaa wanapiga hodi kila kukicha ikulu ya JPM....napata fikra kuwa zile si salamu za mwaka mpya tu....kuna mengi nyuma ya pazia......
 
Makubwa yamezidi kugundulika kwenye sakata la upotevu wa makontena Bandari ya Dar na sasa inadaiwa kuwa kuna nyakati wahusika wamewahi kufuta kumbukumbu za meli nzima ya makontena na kuiba makontena yote.

Taarifa hizo zinavuja wakati kukiwa na mvutano kati ya chama cha Mawakala wa Forodha Tanzania (TAFFA) kinachodai kutohusika kwa namna yoyote na upotevu wa makontena zaidi ya 11,000 ambayo hayakulipiwa ushuru bandarini (Wharfage charges).

TAFFA wanaitaka Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), kuwajibika katika upotevu huo ulioinyima Serikali kupitia mamlaka hiyo mabilioni ya fedha.

Chanzo: Raia Tanzania
Au imepotea kama ile ndege ya kule asia?
 
Sijui hii ni episod ya ngapi, maana i ll ianza kontena miatatu na kitu, mara kontena elf 11, sasa tunaambiwa meli nzima, mwisho tutaambiwa meli za mwezi wa tano mpaka 12 hazijulikani zipo wapi?
 
Ukawa kwishney.... imebakia historia tu sasa,chadema ndo ilishazikwa zamaniii imebaki jina tu ...li chama limejifia lenyewe..Chezea ngosha wewe.
 
Akili yangu inaanza kuamini kwamba kama ni kweli makontena zaidi ya 11,000 na magari 2,000 yalipitishwa bila kulipia tozo stahiki. Kumbe kameli kamoja ni kitu gani. Nchi inapozama katika lindi la rushwa na ufisadi kila jambo linawezekana. Namkumbuka Hayati Mwl Nyrere aliwahi kusema popote duniani serikali corrupt haikusanyi kodi, itabaki kukimbizana na akina mama nitilie barabrani lakini si wafanyabiashara wakubwa.
Kweli mkuu!
Na mzee wa zpush Up ameapa kula sahani moja na hao wasio lipa kodi.
 
Na hakuna Mwenye ubavu Wa kumhoji wala kumkamata baba take juzi alikwenda white house kuweka mambo sana Pongezi Kwako RIZ 1

Nafikiri ni vema tukawa na constructive arguement, Kimsingi mimi naona njia sahihi ni kuonyesha ushiriki wa hawa watu ktk sakata zima na tuache dhana na hisia. Vema tukaonyesha ni kwa namna ipi hawa jamaa walikuwa wakiingilia utendaji wa maofisa au na wao walikuwa watia sahihi ktk utoaji wa hayo makontena? Jee maofisa walikuwa huru kiasi gani kufanya maamuzi au kila kitu kilidhibitiwa na ikulu?
Tukumbuke Sakata la Richmond lilimuangulia ENL kwa vile tu vilionyeshwa vimemo vya maelekezo pamoja na amri ya kuhamishia majukumu ya kutoa zabuni kwenye ofisi ya PM. Toka hapo naamini hakuna wanasiasa wanaoandika vimemo. Ndio maana Mzee wa Msoga anathubutu kutamka hadharani eti hajawahi kuagiza kontena lipite burebure. Hii ni changa moto kwa mtu mwenye clues za aina yoyote aweke mezani tupate pa kuanzia.Jamani wekeni mambo hadharani huyo hawezi kamtwa hivihivi tu bila CONCRETE EVIDENCE
 
Back
Top Bottom