Bandarini si wizi bali kufuru: Meli nzima 'yaibiwa'

Nathani Tanzania ilishafikia kuwa mafia state. serikali ikubali ina deal na mafia kwani ili sio jipu limepitiliza
That is mafisadi na wahujumu uchumi wamejaribu kufuruga ufuatiliaji wa makontena na kuelekeza fikra na mawazo ya watu kwa watu masikini yaani bomoabonmoa - hii ni hila ya wapinga anayoyafanya Rais Magufuli and it seems they have managed and ensured deviations has taken effect!!!!! miaka 20 au 30 NEMC ilikuwa wapi au ndo imeshuka kutoka mbiguni!!!!
 
hii ndo tz bwana kila kitu nginjinginji daah miaka mia hii nchi itabaki hivi hivi tu mbwembwe nyingi hakuna kitu apo
 
Makubwa yamezidi kugundulika kwenye sakata la upotevu wa makontena Bandari ya Dar na sasa inadaiwa kuwa kuna nyakati wahusika wamewahi kufuta kumbukumbu za meli nzima ya makontena na kuiba makontena yote.

Taarifa hizo zinavuja wakati kukiwa na mvutano kati ya chama cha Mawakala wa Forodha Tanzania (TAFFA) kinachodai kutohusika kwa namna yoyote na upotevu wa makontena zaidi ya 11,000 ambayo hayakulipiwa ushuru bandarini (Wharfage charges).

TAFFA wanaitaka Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), kuwajibika katika upotevu huo ulioinyima Serikali kupitia mamlaka hiyo mabilioni ya fedha.


Chanzo: Raia Tanzania


raia Tanzania.jpg
 
Meli mzima.ata haijawahi tokea.sasa inabidi tuchukue tuzo nyingine !?safi sana
 
HII Ni saisa...Hakuna meli imewahi kupakua mzigo wote kwenye bandari ya Dar...Labda iwe boti kutoka Zanzibar

Tutumie walau common sense

Mkuu mbona unaongopa mchana kweupe? kama wewe hujui tuambie kuwa hujui : Jiulize Bandari yetu inahudumia nchi ngapi ? na ni mizigo kiasi gani hushuka kila siku iendayo kwa mungu? Meli sio dubwasha kubwa kupitiliza hata tusiweze kuimaliza mizigo yake na hii ni kwa containers bado hujaingia kwenye mafuta au ngano .............usibeze ikiwa huna taarifa mkuu!
 
Bado jipu la meli za ngano na mafuta ya petrol na kula
Humo ni aibu
Watasema Magu anawaonea kwa sababu wao ni ........!
Naisubiri kwa hamu zamu yao hawa ................uwekezaji uchwara na hasa kwenye mafuta ya kula ndio nachefuka kwani wamehujumu kabisa pato la mkulima wa mbegu za mafuta wa Kitanzania na kutulisha vitu visivyofaaa .....................hawa watungiwe ile sheria kama ya uchina!
 
Back
Top Bottom