masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,643
- 14,642
Mkuu unaambiwa hilo limetokea wewe unaweka ufahamu wako!Mkuu...Hivi unaelewa unachosema?
Hakujawahi kutokea tangu bandari ianzishwe meli za makontena toka china zikashusha mzigo wote Dar..Home shopping alikuwa haagizi meli nzima..Bali makontena yanapakiwa kwenye meli
Wapi na wapi!