Bandarini si wizi bali kufuru: Meli nzima 'yaibiwa'

Bandarini si wizi bali kufuru: Meli nzima 'yaibiwa'

Bado jipu la meli za ngano na mafuta ya petrol na kula
Humo ni aibu
Watasema Magu anawaonea kwa sababu wao ni ........!
Ukiona analipasua jipu ujue hakupata ganji, mbona mv dsm ameinyamazia?
 
Utaisoma wewe na mkeo siku mkilala na njaa
Mmeshaingizwa chupa, safari nje fiksi, allawansi za wizi Ngurdoto hakuna.
Na viprojekti vya warsha, semina, kongamano vilivyo kuwa wizi mtupu ndo hivyo tena.
Mtoto aliyeko Ulaya unadaiwa karo, nyumba ndogo kesha chomoa!
Mkuu hiyo namba ngumu sana kuisoma!!
 
kinya27122015.jpg
 
Back
Top Bottom