Balozi wa Sweden atembelea Ofisi za JamiiForums

Hivi ajira kumbe zipo tu humu.

Ee bana ee, nimeona warembo waliotukuka weupe hadi miguuni.

Mwambieni huyo balozi tunampa hi.
20220202_104345.jpg
 
Bravo 👏 the Ambassador. Naona kuna watu wameshindwa kabisa kuonekana kwenye huu uzi kwa sababu wanashindwa waanzie wapi kuponda kwa sababu ni mkono unaowalisha hata na wenyewe.

They're finding themselves in a very awkward situation those hypocrites.
 
Hii ndio taarifa mpya inayosambaa mitandaoni kwa sasa na ni Heshima kubwa sana kwa JF na ni recognition ya nguvu sana .

Kutambuliwa huku kwa JF na Jumuiya za Kimataifa kunakuja kutokana na UHURU MKUMBWA WA KUTOA MAONI NA JUHUDI ZA MAKUSUDI ZA KULINDA FARAGHA ZA WATEJA WAKE

Mungu ibariki JF

=========

Balozi wa Sweden nchini Tanzania, Anders Sjöberg leo Februari 1, 2022 ametembelea ofisi za JamiiForums na kukutana na watendaji na mwakilishi wa Bodi ya Wakurugenzi wa JF.

Pamoja na mambo mengine, ameweza kujua namna Jamii Forums inavyoendesha shughuli zake katika kuhakikisha inafanya uchechemuzi wa Haki za Kidijitali, Uwajibikaji, Demokrasia na Utawala Bora nchini Tanzania.

JF inasimamia mtandao wa JamiiForums.com unaotoa nafasi kwa Watanzania kutumia #UhuruWaKujieleza kwa njia ya mtandao na kujadili masuala anuai, ikisaidia wananchi (Citizen Journalists) kupaza sauti zao

ASHA D ndio yupi hapo?
 
Hapa ndio kuna wale Mods wakora wanaotushughulikia wakati mwingine bila sababu? Big up Mexence kwa kutoa ajira kwa vijana. Naona kundi kubwa la vijana wamepata ulaji hapo JF. Mungu ampe maisha marefu huyu bwana mdogo.
 
Tofauti na Rais wetu Samia amvaye kutwa kuvaaa barakoa na ku keep social distance na kuamini kuwa Corona ni tishio kwa Tanzania na kujitofautisha na watanzania walio wengi kwa kuvaa barakoa na ku ji social distance kuwa yeye si social au sehemu ya majority!!! Ni sehemu ya minority!
Mama lisanii hilo hakuna kitu! Uliona ile alikuwa kwenye taarabu? Eti kwenye public anawazuga Wazungu.
 
Back
Top Bottom