Uchaguzi 2020 Balozi wa Marekani nchini Tanzania: Serikali ihakikishe usalama wa Viongozi wa Upinzani, iwaachie waliokamatwa na kurejesha mawasiliano kwa wananchi

Hawa watu hizi jeuri ya kutoa matamko chanzo chake ni siasa za upinzani kuwapigia magoti kila siku waingilie mambo yetu be it wanajua wanavuka mipaka yao.

Watu kama hao kweli ndio waongoze nchi.
 
Balozi huyo ameandika:

Reports of arrests of opposition leaders are extremely concerning. I urge the Government to ensure the safety and security of all opposition leaders, cease these targeted arrests, release detainees, restore telecommunications, and afford due process under the law to all citizens.

View attachment 1617807
Nenda kamuulize huyo balozi wa Marekani, Je Marekani mtu anayefanya makosa huwa hapaswi kukamatwa eti kisa tu yeye ni kiongozi wa chama fulani cha upinzani? Atuambie je Marekani viongozi wa vyama vya upinzani wapo juu ya sheria?
 
hata kama tuwe tumelewa madaraka vipi, tuache kuwachokoa wamarekani.
Mkuu huoni wao wanatuchokoa? Kwao wana uchaguzi, kura za mgombea wao mmoja zinaibwa na kutupwa majalalani, vikundi vya wanamgambo wazungu wenye silaha nzito wapo wanajifua eti wanatetea maslahi ya weupe dhidi ya waafrika na wakuja wengine...polisi wazungu wanakandamiza shingo za weusi na kuwapeleka kuzimu fasta...huku kwetu ni wanasiasa wenye njaa wanapigania ruzuku tu acha tuwaweke ndani magaidi hawa!
 
Mbona hawakemei wanapo hamasisha ‘social unrest’ halafu anajifanya neutral. Huyu mtu anabidi aitwe kwa Kabudi for a talk anazidi sasa.

Watu wamekamtwa kwa kuvunja sheria au hakusikia walivyokuwa wanahamasisha watu kuingia kitaa indefinitely.
 
Hata Balozi wa China nae alitoa matamko kila anapoona dalili za chama tawala kukwama. Nilichobaini ni kila chama kina nchi ngeni inaewaunga mkono
Ni kweli ila tuwe makini na hao wanaotuunga mkono. Uzalendo kwanza kuungana mkono badae, historia ya Marekani inafahamika kumuunga mkono Marekani ni upumbavu. Marekani ni taifa linaloishi kwa unyang'anyi.
 
Hivi

huyu baba hanaga kazi zingine? Kwa Kenya huwaga aanaside na serikali kukandamiza wapinzani kwa Tz wanaside na wapinzani dhidi ya serikali. Wamerekani wanafiki sana jamani
Acha ujinga balozi huyu anahusikaje Kenya
 
Mbona awakemei wanapo hamasisha civil disobedience halafu anajifanya neutral. Huyu mtu anabidi aitwe kwa Kabudi for a talk anazidi sasa.

Watu wamekamtwa kwa kuvunja sheria au akusikia walivyokuwa wanahamasisha watu kuingia kitaa indefinitely.
Nadhani atujibu Je Marekani kuna mtu yupo juu ya sheria?? Atuambie asijifanye ana mahaba ya kipuuzi, kama anawapenda wahalifu awapeleke huko huko Marekani ila sio Tanzania.
 
Mkuu huoni wao wanatuchokoa? kwao wana uchaguzi, kura za mgombea wao mmoja zinaibwa na kutupwa majalalani, vikundi vya wanamgambo wazungu wenye siraha nzito wapo wanajifua eti wanatetea maslahi ya weupe dhidi ya waafrika na wakuja wengine...polisi wazungu wanakandamiza shingo za weusi na kuwapeleka kuzimu fasta...kuku kwetu ni wanasiasa wenye njaa wanapigania ruzuku tu acha tuwaweke ndani magaidi hawa!
Mwambie balozi wenu aliyepo USA atoe tamko na yeye
 
Mkuu huoni wao wanatuchokoa? kwao wana uchaguzi, kura za mgombea wao mmoja zinaibwa na kutupwa majalalani, vikundi vya wanamgambo wazungu wenye siraha nzito wapo wanajifua eti wanatetea maslahi ya weupe dhidi ya waafrika na wakuja wengine...polisi wazungu wanakandamiza shingo za weusi na kuwapeleka kuzimu fasta...kuku kwetu ni wanasiasa wenye njaa wanapigania ruzuku tu acha tuwaweke ndani magaidi hawa!
Wapinzani ni wasaliti wakubwa kwa nchi yetu, kila siku kujitongozesha kwa mataifa ya Ulaya. Yaani bora CCM ibake peke yake tufute hivi vyama vya upinzani vya sasa na kisha hiyo CCM tuigawe mara mbili. Na kisiwe chama cha mtu mmoja viwe vinafanyiwa vetting kwa viongozi wake na vyombo vya usalama. Sio hawa wapinzani hata hatuwajui vizuri wanaibuka na kutaka kupiga nchi kiberiti.
 
Mbona awakemei wanapo hamasisha civil disobedience halafu anajifanya neutral. Huyu mtu anabidi aitwe kwa Kabudi for a talk anazidi sasa.

Watu wamekamtwa kwa kuvunja sheria au akusikia walivyokuwa wanahamasisha watu kuingia kitaa indefinitely.

Huyu balozi serikali imemuendekeza sana, ni muda muafaka ajue Tz ni nchi huru, wakati hao wajinga wake wanajaribu kutoa matamko ya kuleta vurugu hakusema neno, kuendelea kumuendekeza balozi wa namna hii ataleta matatizo , afanye anachotaka ila hao wajinga wa CHADEMA sheria ichukue mkondo wake, hamna kucheka na ujinga.
 
Mkuu huoni wao wanatuchokoa? kwao wana uchaguzi, kura za mgombea wao mmoja zinaibwa na kutupwa majalalani, vikundi vya wanamgambo wazungu wenye siraha nzito wapo wanajifua eti wanatetea maslahi ya weupe dhidi ya waafrika na wakuja wengine...polisi wazungu wanakandamiza shingo za weusi na kuwapeleka kuzimu fasta...kuku kwetu ni wanasiasa wenye njaa wanapigania ruzuku tu acha tuwaweke ndani magaidi hawa!
Wapinzani ni wasaliti wakubwa kwa nchi yetu, kila siku kujitongozesha kwa mataifa ya ulaya. Yaani bora CCM ibake peke yake tufute hivi vyama vya upinzani vya sasa na kisha hiyo CCM tuigawe mara mbili.

Na kisiwe chama cha mtu mmoja viwe vinafanyiwa vetting kwa viongozi wake na vyombo vya usalama. Sio hawa wapinzani hata hatuwajui vizuri wanaibuka na kutaka kupiga nchi kiberiti.
 
Back
Top Bottom