Gabon: Upinzani Wasema Jeshi halionyeshi Dalili za Kurejesha Utawala wa Kiraia

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,024
1,616
Kiongozi mpya wa kijeshi Nchini humo, Jenerali Brice Oligui Nguema ameahidi kuirejesha nchi hiyo kwenye demokrasia, lakini hajasema ni lini uchaguzi mpya utafanyika, pia amesema taasisi za Serikali nchini humo zitafanywa kuwa za kidemokrasia zaidi na hali ya Utawala wa Kijeshi ni "kwa muda tu"

Hata hivyo, Muungano wa Upinzani nchini #Gabon, Alternance 2023, ambao unadai kuwa ni mshindi halali wa uchaguzi wa Agosti 26, unasema jeshi halionyeshi dalili za kurudisha madaraka kwa serikali ya kiraia, hivyo kutoa wito kwa Jumuiya ya Kimataifa kuhimiza kurejea kwa utawala wa kiraia

.......

Gabon opposition urges military junta to hand power back to civilians​

Pressure mounted on coup leaders in Gabon to hand back power to a civilian government on Friday, two days after they overthrew President Ali Bongo and announced their own head of state.

France24
—————-
Gabon coup: Military chief says suspension of democracy only 'temporary'

Gabon's new military leader has pledged to return the country to democracy, but has refused to provide a timelines for fresh elections.

Gen Brice Oligui Nguema said the country's state institutions would be made more democratic and their suspension was only "temporary".
But Gabon's opposition coalition says the military shows no signs of handing power back to a civilian government.

The deposed president, Ali Bongo, was placed under house arrest this week.

Army officers appeared on state TV in the early hours of Wednesday to say they had seized control, ending the Bongo family's 55-year hold on power in the central African state.

They said they had annulled the results of Saturday's presidential election, in which Mr Bongo was declared the winner but which the opposition said was fraudulent.

In a televised address on Friday evening, Gen Nguema said the military would move "quickly but surely" so to avoid elections that "repeat the same mistakes" by keeping the same people in power.

"Going as quickly as possible does not mean organising ad hoc elections, where we will end up with the same errors," he said.

Gabon's main opposition group, Alternance 2023, which says it is the rightful winner of Saturday's election, urged the international community on Friday to encourage a return to civilian rule.

"We were happy that Ali Bongo was overthrown but ... we hope that the international community will stand up in favour of the Republic and the democratic order in Gabon by asking the military to give back the power to the civilians," Alexandra Pangha, a spokesperson for Alternance 2023 leader Albert Ondo Ossa, told the BBC.

Source: BBC
 
Tatizo la mwanadamu Huwa haridhiki,Hawa watu wameshapata neema ya kuondolewa jinamizi lililojiita " bongo" lakini katika wakati huu mgumu wanataka mamlaka! Hii ni dalili ya kukosa shukrani,na kiumbe chochote kikishakosa shukrani tu hakiwezi kufika popote kimafanikio,mafanikio yanaanza pale unaposhukuru

Hili naliona hata hapa nchini,wakina mdude Wanashindwa kukumbuka mateso waliyoyapata kipindi Cha utawala wa mwendazake na kulinganisha unafuu uliopo Sasa na kushukuru, katika Hali hii mafanikio ya kisiasa watabaki tu kuyasikia kwa wengine!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hapana, hao wanajeshi watoe ratiba ya kuelekea kwenye utawala wa kiraia, kukaa kimya kunaonyesha kwamba na wenyewe wanataka kuwa na jinamizi lile lile la Ali Bongo na baba yake Omary Bongo ambao walijua Gabon ni shamba lao.
 
Ufaransa washaanza chokochooo
 
Tatizo la mwanadamu Huwa haridhiki,Hawa watu wameshapata neema ya kuondolewa jinamizi lililojiita " bongo" lakini katika wakati huu mgumu wanataka mamlaka! Hii ni dalili ya kukosa shukrani,na kiumbe chochote kikishakosa shukrani tu hakiwezi kufika popote kimafanikio,mafanikio yanaanza pale unaposhukuru

Hili naliona hata hapa nchini,wakina mdude Wanashindwa kukumbuka mateso waliyoyapata kipindi Cha utawala wa mwendazake na kulinganisha unafuu uliopo Sasa na kushukuru, katika Hali hii mafanikio ya kisiasa watabaki tu kuyasikia kwa wengine!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
kwahiyo wawaachie jeshi serikali kama shukran sio ? na sio serikal ikabidhibiwe kwa mwenye uwezo wa kuongoza
 
Wapinzani wengi ni wababaishaji tu. Hapo waunde Military Junta ndiyo iendeshe nchi. Uenyekiti wa hiyo Junta wapokezane wanajeshi wenyewe. Vyama vya siasa vipigwe marufuku.
 
Back
Top Bottom