Bado Lukuvi. Kalamaganda Kabugi nilimuona kwenye mradi wa graphite huko Lindi Usweken.Hatimaye Kagasheki kakumbukwa
mpaka kifo kikutenganishe na asaliHii nafasi za kulamba asali huwa haziishi,ukiwa kwenye system unalamba asali tu
Dj kazima mziki,unataka tuendelee kucheza?Kweli hiki cheo wangempa Mbowe
Muite muhudumu wa bar ili alete dj MpyaDj kazima mziki,unataka tuendelee kucheza?
Hayati Mrema???Karithi mikoba ya hayati mrema...
Nchi hii ina wenyewe.....si wangempa hata Paacal Mayalla na yeye akalambamo kidogo.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Khamis Sued Kagasheki kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Parole kuanzia tarehe 18 Aprili, 2023.
View attachment 2594524
Yaani, mtu yuko zake uswiz na familia yake hiyo kazi ataifanya saa?mpaka kifo kikutenganishe na asali
Mbowe ashapata mkono wa Idd tayariHii nafasi za kulamba asali huwa haziishi,ukiwa kwenye system unalamba asali tu
baba yako haimfai kwani hapo nyumbani kwenu.Hii nafasi ingemfaa sana Mbowe
babako hicho cheo hakimfaiKweli hiki cheo wangempa Mbowe