Balozi Kagasheki ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya PAROLE

Mbowe ndiye Mrema wa Awamu ya 6 😃😃😃
jibu swali nimekuuliza babako hafai hio nafasi?
Acha kutaja taja maswala ya mrema hapa kama unataka tumjadiri mrema sema ili upate majibu ya mrema.
Kwamba mbowe awe mrema kisa umesema wewe, labda wapumbavu pekee walioaminishwa na yule dikteta kuwa chadema kufikia 2020 itakuwa imekufa ndio watakuamini.
 
Nchi hii ina wenyewe.....si wangempa hata Paacal Mayalla na yeye akalambamo kidogo.

Hao akina kagasheki wameshachuma vya kutosha.

Hii nchi ina watu kama 1000 tu ndio wanaokula kila kitu kila siku miaka yote

Wengine tunasindikiza tu huku tukiambiwa tuwe wazalendo
Eti wangempa hata mayala akalambepo mkuu nimecheka sana
 
Ila hawa jamaa wanajua kukumbukana huyo kagasheki hela alizochuma alipopita wizara mbalimbali enzi za Kikwete hazikumtosha.Ila nazo Mamlaka za uteuzi zingemuacha huyo mzee apumzike alee wajukuu zake mbona misisiyemu ipo kibao ambayo siyo aged inaweza fanya hiyo kazi mpaka mingine imejipa majina ya aibu ya kujiita chawa si ingekumbukwa
 
Samia alifata nini Dodoma? Amekuwa Dsm toka 21/03 juzi kaenda Dodoma jana Karudi Dsm
 
Nchi hii ina wenyewe.....si wangempa hata Paacal Mayalla na yeye akalambamo kidogo.

Hao akina kagasheki wameshachuma vya kutosha.

Hii nchi ina watu kama 1000 tu ndio wanaokula kila kitu kila siku miaka yote

Wengine tunasindikiza tu huku tukiambiwa tuwe wazalendo😅😅
vijana wanaliwa kichwa mpaka hapo watakapojiongeza na kuacha uchawa.wazee wanazidi kujiimarisha kwenye mihimili ya kiubaguzi.
 
Ila hawa jamaa wanajua kukumbukana huyo kagasheki hela alizochuma alipopita wizara mbalimbali enzi za Kikwete hazikumtosha.Ila nazo Mamlaka za uteuzi zingemuacha huyo mzee apumzike alee wajukuu zake mbona misisiyemu ipo kibao ambayo siyo aged inaweza fanya hiyo kazi mpaka mingine imejipa majina ya aibu ya kujiita chawa si ingekumbukwa
huyo mzee nasikia aliuza rasilimali zake zote kule bukoba pamoja na ile radio yake ya kisiasa ya kasibante na kutokomea nje ya nchi.naona maisha yamempiga na mama kamkumbuka as if hakuna vijana ambao wanasifa ya kuteuliwa.
 
Mbowe ashapata mkono wa Idd tayari
Freeman Aikaeli Mbowe anahusika wapi hapa? Mbona huishi kumtaja taja kila wakati unapokuja jukwaani humu. Kwa taarifa yako, vichwa kama hivi ni adimu sana. Nakutakia kheri na kila lililo jema Kamanda FAM. Mungu awalinde wote wenye mapenzi mema na hata wenye roho ovu wabadilike
 
Nchi hii ina wenyewe.....si wangempa hata Paacal Mayalla na yeye akalambamo kidogo.

Hao akina kagasheki wameshachuma vya kutosha.

Hii nchi ina watu kama 1000 tu ndio wanaokula kila kitu kila siku miaka yote

Wengine tunasindikiza tu huku tukiambiwa tuwe wazalendo
Dah,Pascal siku hizi anatetea ata mambo ya kiwaki,kweli wangempa hicho cheo angalau atumie LLB yake!
 
Balozi amechukua nafasi ya

Augustine Lyatonga Mrema.Watu wasio na hatua wanasota ndani kwa kesi za kubambikiziwa.
 
Back
Top Bottom