Balozi Juma Mwapachu atangaza kurejea CCM...

Balozi Juma Mwapachu atangaza kurejea CCM...

Upuuzi mtupu! kwa hiyo anaogopa kukwamishwa si ndio? kwenye madili yake!

Angechukua uamuzi wa kiume na kubaki chadema. hapo ndo kaharibu kabisaa maanayake katoka kwenye kundi kasimama pekeyake wamlenge vizuri!

The demage is done, simple sorry wont help! its too late to turn back now.
 
Kwa uandishi tuliozea wa huyu Balozi kamwe hii haiwezi kuwa Statement yake, it is too shallow na ina contradictions nyingi sana sana, lazima kuna mchezo, huu sio uandishi wake, au ni zuga tu kuhusu uchaguzi wa Meya wa Dar??
 
...Magufuli ajue sasa niko naye kwasababu sitaki shughuli zangu na za washirika wangu zikwamishwe na Serikali kwa sababu tu huko nyuma niliamua kumsaidia swahiba wangu...
nadhani hili ndo limemrudisha huko si porojo zingine alizoandika!
 
Kama huyu balozi mashuhuri kweli kaandika hili, ngoma yetu ngumu sana Tanzania.

I mean utamlaumu vipi country bumpkin kama Magufuli au burlesk bully kama Ndugai ?

hajaandika ameongea na waandishi wa habari
 
If at all the statement is authentic...

The kicker is, anasema kaondoka kwa ajili ya mtu halafu karudi kwa sababu ya mtu.

Confirming that his politics revolves around personalities, not ideologies.

Halafu hapo hapo anakwambia CCM ikichagua mtu mbovu atabaki nayo tu.

Totally incoherent.

Halafu hapo hapo ka reveal kwamba alimuunga mkono Lowassa kwa uchu wa madaraka.

How stupid could one get? There ought to be laws against that type of quid pro quo politics.

Maybe he's going senile....
 
Kuna mzee mmoja tangia miaka ya mwanzoni mwa tisini amekuwa cdm na hakuwahi kutaka hata uenyekiti wa kijiji. Kikubwa ni kwamba yeye tangia miaka ya sabini hakuwa na imani na ccm na ndio sababu yake kufurahia vyama vingi pale aliposikia ujio wake.
Sasa wote mtaelewa kuwa Ndg. Mwapachu hakuja cdm kwa sababu ya kuguswa na matatizo na ufisadi wa ccm bali alifuata vyeo. Na kwa kauli ya Mh. Mbowe juzi kuwa "ukiwa cdm usiogope kulala lock-up" ni wazi cdm sio sehemu ya vyeo na yuko sawa kuendelea kufuata vyeo huko vinakopatikana!
Kama ni kweli, kwa wanaoangalia swala hili na jicho la tatu watakubaliana nami kuwa safari ya kuleta mabadiliko Tanzania bado ni ndefu.
Mkuu,nimesoma huu uzi nimeshindwa hata kucomment nahifadhi kauli zangu kwanza hadi nijiridhishe pasipo shaka kuwa hyo ni print ya Amb. J. Mwapachu na km ni kweli basi "wonders shall never end" km na mzee wa rika hili anaweza kuwa na cheap price namna hii kweli kaz bdo tunayo ndefu!
 
Mtu kama huyu hafai kuaminiwa..ccm kama mko makini msimpokee hata kadi msimpe..anakiri alitarajia kuhongwa uwaziri akahama chama akiaidiwa kitu kikubwa zaidi si atauza nchi huyu???..
 
If at all the statement is authentic...

The kicker is, anasema kaondoka kwa ajili ya mtu halafu karudi kwa sababu ya mtu.

Confirming that his politics revolves around personalities, not ideologies.

Halafu hapo hapo anakwambia CCM ikichagua mtu mbovu atabaki nayo tu.

Totally incoherent.

Halafu hapo hapo ka reveal kwamba alimuunga mkono Lowassa kwa uchu wa madaraka.

How stupid could one get? There ought to be laws against that type of quid pro quo politics.
....hasa sababu alizotoa, naona kama karogwa vile, eti niliahidiwa uwaziri wa mambo ya nje!!!! Mkapa hakukosea hii nchii imejaa malofa!!
 
Hakuna maisha nje ya ccm..tunawashaurigi lakini hamuelewi,kingunge na sumaye walisharudi kimya kimya.
 
  • Thanks
Reactions: nao
Maybe he's going senile....
Some may take that lightly, but it is quite possible. What with all the advanced age mental health issues.

The guy ought to know to write better than that even if presenting a totally fraudulent and unpalatable return to CCM.
 
  • Thanks
Reactions: 911
Mimi wala nilikuwa sijui kama yeye alihamia CDM........
 
Nani kampokea Chadema? Basi hakuhama Chama bali kamfuata lowassa tu.Wasomi wanafki sana
 
Hakuna maisha nje ya ccm..tunawashaurigi lakini hamuelewi,kingunge na sumaye walisharudi kimya kimya.
Una laana kweli wewe mla viwavi.... Mbona wengi tu tunaishi nje ya CCM?
 
Hata fisadi Lowasa pia ataikana na kuitosa chadema muda siyo mrefu, kwa maana ni fisadi na kwa Magu haponi!
Cdm ni taasisi na ilianza bila Lowassa hy akiondoka cdm itasonga mbele km kawaida wamepota wengi tu na bdo inaimarika.
 
Back
Top Bottom