Balozi Juma Mwapachu atangaza kurejea CCM...

Balozi Juma Mwapachu atangaza kurejea CCM...

Huyu angalau kaacha unafiki. Aliyoyaandika yooote ni ngonjera tupu ila sababu haswa iliyomfanya arudi kundini ni kwa sababu "hataki shughuli zake na za watu wake wa karibu zikwamishwe na Serikali" kwa kuwa alimsapoti Lowassa. Hili kalisema wazi bila kumung'unya maneno.

Usikute tayari keshaanza kusomeshwa nambari kwa lazima
Na kwa magufuli amenoa mana ana roho ya kisasi hasa changamoto aliyoipata kwenye kampeni na alivo mwambia jk atashughulikia wanafiki pole yake
 
kila la heri mwapachu , biblia inasema kwamba waliogeuka nyuma waligeuka jiwe la chumvi .
 
Bwana huyu alinunuliwa na ahadi ya kupewa Uwaziri. Leo anarudi CCM kwa sababu (anasema mwenyewe): "sitaki shughuli zangu na za washirika wangu zikwamishwe na Serikali... ". Kwa lugha nyepesi anataka kuinunua Serikali kwa kadi ya CCM. Nimuulize Mheshimiwa Col Kinana, tukitumia lugha ya kijeshi tukasema mtu huyu ni mamluki tutakosea? Na kama hivyo ndivyo ilivyo, kuna haja yoyote kumpokea katika Chama. Hamwoni huyu mtu ndiyo kundi la mchwa uliyokuwa unakipekecha Chama ndani kwa ndani kisha wakakaa pembeni na kutuambia Chama kimeoza? Haya, mwenye macho na masikio aone na kusikia.
 
Huyo atakua mamluki wa ccm, kaenda kwa kazi maalum! Keshaimaliza na sasa analudi nyumbani kwao.
 
Inaonekana mzee ruler imempitia, kutoka nje ya mfumo inahitaji timing ya hali ya juu kweli...la sivyo ujiandae kupata aibu kama hii...
 
Jua la utosi likikolea wote waliolewa mahaba ya Lowassa watarudi walikotoka,Ni suala la muda tu.

Hayo majina yote ya Sumaye,Lowassa etc yaliyojipachika mara BOT,TRA,TPA yatatupwa nje pamoja na wapambe wao na mirija yao itakunjwa labda siyo siasa za kiafrika.

Hawa wazee wamejaza ndugu kibao kwenye idara nyeti kwa "baba kanituma" halafu wamejisahau.

Siasa za kiafrika Ni kukomoana tu ukileta ujuaji.
 
Huyu jamaa hajielewi kabisa. Ila kama ni toba kweli katubu! Masikini Mzee Huyu. Au tumbua majipu imegusa maslahi yake Sasa anadhani ataokoa vilivyobaki kwa kurudi CCM?

The good thing hakuwa ukawa
 
hao ni wasaka vyeo. akufaaye kwa dhiki ndiye rafiki wa kweli. hao ni wanasiasa maslahi 100%.
 
Back
Top Bottom