Tetty
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 26,352
- 21,416
Haha njaa mbaya sana!! Kwahiyo kadi zake za TANU & CCM atarudishiwa? Kwahiyo now anaamini Magufuli ni Leader na si manager tena?
Amerudishiwa zote kaka.Alikuwa ana beep.Amezoea AC huku kaona Wote washika jembe.Joto kibao.Ameshindwa. Amerudi kwenye AC.Imenifurahisha aliyosema imemuonyesha wazi kwamba si Kiongozi kwa ajili ya Mtanzania wa kawaida Bali kwa ajili yake,familia yake na washirika wake.Hongera Bwana Mwapachu kwa kurudi ulikotoka.