Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 16,921
- 31,627
Ndiyo.View attachment 3477376Kama hizi?
Backpacks za wanafunzi hasa wadogo, wa seconday schools,na wanachuo za kubebea laptops.
Pia begi za kawaida za kila raia.
Ndiyo.View attachment 3477376Kama hizi?
Quality ya maana?Bale la jeans za kiume 350k, men t shirt 310k.
Canada, UK, Dubai ukipata unijulishe.China.
Mkuu endelea kuchua unapochukulia.Quality ya maana?
Usinielewe vibaya.Mkuu endelea kuchua unapochukulia.
Mkuu maswali yakiwa mengi yanakata stimu, mzigo ungekua sio mzuri mimi nisingekua nachukua. Mwambia nitampeleka mwenyewe godown akachague mwenyewe akipendezwa atachukua asipopenda ataacha, akiwa na mtu mzoefu wa kuchagua bales itakua poa zaidi, aje nae.Usinielewe vibaya.
Kuna mtu anataka kuanza hiyo biashara siyo mimi.
Mahali anapoenda kuuza wanachagua sana vitu.
Wanataka vitu vya quality ya juu. Goba huko kwa wajanja.
Nimekupata shukrani mkuu.Mkuu maswali yakiwa mengi yanakata stimu, mzigo ungekua sio mzuri mimi nisingekua nachukua. Mwambia nitampeleka mwenyewe godown akachague mwenyewe akipendezwa atachukua asipopenda ataacha, akiwa na mtu mzoefu wa kuchagua bales itakua poa zaidi, aje nae.
Issue ni uaminifu mkuu, kumuamini mtu kupitia mitandaoni na kumtumia hela akutumie mzigo ni ngumu sana. Ushauri wangu anza kununulia huko huko mkoani i hope kuna maduka ya bales tho bei zao zipo juu kidogo.Unanisaidiaje Mimi wa mkoan ninayetaka kuanza biashara ya nguo za watoto?
Shida ya mabalo ni mafamba yanayojaa huko.
Hutakiwi kukurupuka kwenye biashara hii.Shida ya mabalo ni mafamba yanayojaa huko.
Hofu tupu
Ila unatakiwa kufanyaje?Hutakiwi kukurupuka kwenye biashara hii.
Umakini tuu kwenye kuchagua bales, kila bale lina sticker inayoeleza limetoka nchi gani na lina nguo ya aina gani na ni kampuni gani imefunga hiyo nguo so kuna kampuni hua zinajitahidi sana kutoa mtumba mzuri. Ukizingatia tuu hiki kitu ni ngumu kuanguka, wengi hua mnateleza hapa kwenye kusort label nzuri basi.Ila unatakiwa kufanyaje?
Wanasema waagizaji ndio wanachakachuaUmakini tuu kwenye kuchagua bales, kila bale lina sticker inayoeleza limetoka nchi gani na lina nguo ya aina gani na ni kampuni gani imefunga hiyo nguo so kuna kampuni hua zinajitahidi sana kutoa mtumba mzuri. Ukizingatia tuu hiki kitu ni ngumu kuanguka, wengi hua mnateleza hapa kwenye kusort label nzuri basi.
Shukrani mkuu kwa feedback, barikiwa sana. Pakikucha nitakupigia tuongee kaka.Nilipata wasaa wakwenda godown na huyu mwamba kimsingi kila kitu kimeenyooka hamna kipengele labda MTU aje nacho yeye ni chimbo lamaana kabisa