Balo gani unataka nikutajie bei ya Godown?

Balo gani unataka nikutajie bei ya Godown?

20250902_102359.jpg
Children summer wear iyo 300k wanauza.
 
Za wanawake hizo Cago trousers huzijui?
Mkuu mimi ni mfanya biashara kama wewe similiki duka au godown so nguo nyingi sizijui najua zile ninazodeal nazo. Naelekea huko godown mda huu nikifika nitawauliza wenyewe then nitakuambia mkuu. Nguo ya wanawake ninayojua ni ile cotton dressing yanakua magauni sijui kama unazungumzia hizo.
 
Hii ni cream???
Hizi ni bale za kichina mkuu kuhusu ni cream au sio cream sifahamu ila ni label nzuri sana mwenyewe nikinunua bale la sportwear zinatoka vizuri sana na bei ni rafiki, kama upo dar twende nikupeleke ukaangalie mwenyewe zikikuvutia utachukua.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom