Yohimbe bark
JF-Expert Member
- Sep 1, 2019
- 2,871
- 7,347
- Thread starter
- #101
Wale wakikuhitaji mkuu watakupata kwa vyovyote vile. Wanaweza kumpa melo hata 10b ili wakupate tuu. Usiwachukulie poa.watu wasiojulikana huwapata watu kwa mfumo kama huu
Hizi ni za dsd eeh?View attachment 3476264Hili ni bale la children sportwear( zile uniform za watoto) mimi ndio huwa nanunua hizi naenda kuuza mwenyewe hili lina pc kuanzia 170 plus ni kilo 50.
Ndio mkuu, ushaikata label hii eeHizi ni za dsd eeh?
Sijawahi naiona imewaka kweli wakati kampuni hiyo nguo zake zingne majanga matupuNdio mkuu, ushaikata label hii ee
Haha mimi hua nakata hii sportswear hua wanajitahiti kutoa vizuri. Sijawahi kukata nguo nyingine. Endelea kutafuta kwenye magodown mengine balo za nguo unayokata ipo siku utabahatisha label nzuri. Btw mimi hua nakata label mbali mbali, usisahau pia mtumba ni kamari.Sijawahi naiona imewaka kweli wakati kampuni hiyo nguo zake zingne majanga matupu
Ok tuko pmjHaha mimi hua nakata hii sportswear hua wanajitahiti kutoa vizuri. Sijawahi kukata nguo nyingine. Endelea kutafuta kwenye magodown mengine balo za nguo unayokata ipo siku utabahatisha label nzuri. Btw mimi hua nakata label mbali mbali, usisahau pia mtumba ni kamari.
December nataka kuanza hii biashara na mabegi ya shule ya mtumba na viatu vya shule. Balo za mabegi na viatu vya wanafunzi ni bei gani?View attachment 3477376Kama hizi?
Balo la nguo mchanganyiko la kuuza mia top shingapi?Sitangazi biashara mkuu nafanya kwa upendo tuu kwasababu nimeona godown bei ipo chini na mimi ndio ninapochukulia so mtu akiwa interested namconnect direct akachukue mwenyewe. Elewa SITAFUTI WATEJA HUMU.
Sikuona mkuu na juzi nilikuta balo nyingi sana za viatu godown mchina alikua anauza 130k sidhani kama bado vipo watu walikua wanashambulia sana.Umeambiwa baloo la belii la viatu unaruka rukaa tu hutoi jibu la bei.....
Sijakuelewa mkuu, balo la mchanganyiko la kuuza mia top sh ngapi? Sijakuelewa eleza vizuri mkuu.Balo la nguo mchanganyiko la kuuza mia top shingapi?
Sina jibu la uhakika mkuu kesho nitakupa jibu la uhakika.December nataka kuanza hii biashara na mabegi ya shule ya mtumba na viatu vya shule. Balo za mabegi na viatu vya wanafunzi ni bei gani?
Shati za dog dog balo lake shilling ngapi mkuu?Sina jibu la uhakika mkuu kesho nitakupa jibu la uhakika.
200k kilo 40.Shati za dog dog balo lake shilling ngapi mkuu?