Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 15,798
- 22,911
Mnajaza mizaha kwenye mambo serious kweli! .Ndio mkuu Godown ni "THITHIEM" code iyo chukua itakusaidia.
Swali linalosumbua wengi ni hizo code ulizoweka bila kutaja bei za wazi.
Wadhani kila mtu anazielewa hizo code za wauza lonya?