malamsha shao
JF-Expert Member
- Sep 23, 2012
- 233
- 100
Poa mkuu200k kilo 40.
Poa mkuu200k kilo 40.
Sina jibu la uhakika mkuu kesho nitakupa jibu la uhakika.
250k mkuuSina jibu la uhakika mkuu kesho nitakupa jibu la uhakika.
Bale moja kinaliwa na pc ngapi za nguoSitangazi biashara mkuu nafanya kwa upendo tuu kwasababu nimeona godown bei ipo chini na mimi ndio ninapochukulia so mtu akiwa interested namconnect direct akachukue mwenyewe. Elewa SITAFUTI WATEJA HUMU.
Nguo gani mkuu??Bale moja kinaliwa na pc ngapi za nguo
Au unazungumzia balo la viatu??Bale moja kinaliwa na pc ngapi za nguo
Nguo kakaAu unazungumzia balo la viatu??
Nguo gani kaka? Balo la kilo 40 la nguo ya mtoto haliwezi kua na idadi sawa na balo la kilo 40 la nguo ya mtu mkubwa.Nguo kaka
Za watu wakubwaNguo gani kaka? Balo la kilo 40 la nguo ya mtoto haliwezi kua na idadi sawa na balo la kilo 40 la nguo ya mtu mkubwa.
Hajajibu?Za watu wakubwa
Baloo la Kilo 40 ni 290k mkuu bei ya godown kama upo dar njoo nikupeleke for free.Nipe bei ya Men Short Sleeve Shirts
Shukrani kaka, wengi sio wafanya biashara ya mtumba wanazingua tuu na mimi nimejitolea tuu for free kuwatajia bei zenyewe za godown na kuwapeleka bure kabisa bila gharama zozote kwasababu huko mtaani wanapigwa balaa.Huyu mzala katoa code nzuri kwa wahusika safi sana kamanda shida ya JF wasiohusika na hiyo kazi wanauliza kwa kuzihaki..
Mkuu sidiria na soksi ni magendo hua zinauzwa kisiri sana hata godown huwezi kuzikuta na ukiulizia unaambiwa hazipo wanahisi unataka kuwachomesha, hua mchina anawauzia watu anaowaamini yeye mwenyewe so hata bei sizijui ila nitamuuliza mmoja wapo anayepewa then nitakupa jibu.Balo la sindiria