Balo gani unataka nikutajie bei ya Godown?

Balo gani unataka nikutajie bei ya Godown?

Vipi Balo la viatu vya laba vya mtumba ni shilingi ngapi mkuu na linapatikana mkoa upi
Mkuu bale za viatu hua naziona godown ni nyingi sana ila sijawahi kuulizia bei ila kuna jamaa niliona anasort siku moja kama vile nilisikia wanamuuzia 130k kwa kila fuko, kesho naenda nitakupa jibu la uhakika mkuu.
 
20250811_124747.jpg
Moja ya godown ninalochukulia bales.
 
Bado kidogo nikuanzishie Uzi kuuliza mbona huonekani?
Umeshindwa kwenda nje ya nchi hata Malawi hapo kwa VeePiiieNiii?
Mzima lakini?
Labda watu wako wa karibu wangetupa taarifa zako.
Jamanii, kumbe ninafuatiliwa humu sikuwa najua aseee, 🤗🫢 wewe ni mtu kama wa 3 unasema hivyo

Mimi mzima kabisa sijui wewe?

Acha tu nimepitia msoto mmoja hivi sikuwa naweza kuingia Jf nilikuwa nasubiri siku 90 zipite
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom