Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,274
- 64,406
Zinatoka nchi gani?
Tunajuana tunaopenda kushinda humu JF.Jamanii, kumbe ninafuatiliwa humu sikuwa najua aseee, 🤗🫢 wewe ni mtu kama wa 3 unasema hivyo
Ndiyo hivyo kumbe, sema nimerudi kuna rafiki yangu alinisaidiaTunajuana tunaopenda kushinda humu JF.
Wengine ndiyo kijiwe chetu cha kupiga stori na kupata news kuliko vijiwe vya mtaani.
Ndiyo hivyo kumbe, sema nimerudi kuna rafiki yangu alinisaidia
Nipo JamaicaKwa hivyo hapo saa hii upo Canda, Uholanzi au Marekani? 😃
Usitumie VPN utafungwa.
033 Ladies jeans Bei ya godown mkuu
Jacket bei gani mkuu kg 50/ 100
Fashion sweta bei gani
190k033 Ladies jeans Bei ya godown mkuu
Begi za mtumba Balo bei gani?
Bale la jeans za kiume 350k, men t shirt 310k.Bei ya balo la jeans za kiume grade 1 bei gani?
Na T-shirts mikono mifupi za kiume au unisex grade 1?
Haya kwenye godown ninalochukulia hayapo mkuu, kuna godown jipya wanashusha mzigo kesho nitaenda nikiyakuta nitakuambia mkuu.Mablanket bei gani
Children summer wear 310k.Balo la nguo za watoto
China.Zinatoka nchi gani?