Ina bidi wewe kwanza umuulize uyo muuza mitumba mabalo yake anatoa nchi gani.
Maana mitumba uwa ni nguo used na kama ilivyo kwenye hii tasnia . Uko nje iwa kuna kampuni zinakusanya nguo kisha zina grade kwenye makundi ma 3 kwa kuangalia zle nguo nzuri ambazo zpo kama mpya hazijavaliwa sana kuziita grade 1, zile zilizo valiwa ila hazijachoka sana kama grade 2 na zilizo choka sana au matambara na zile zilizo na kasoro Doti, hazina zipu zu kuchanika kama grade 3
Kila kampuni ina siri yao jinsi wanavyopanga izi nguo kwenye mabaro. Ambayo ata muuzaji mabaro tanzania au karume haijui bali yeye anatumia uzoefu maana kasha fungua mabalo mengi ana idea ya mzogo
Unakuta mfano balo la magauni. Supplier au kampuni wanaamua kuchukua nguo za grade 1 200 wanachanganya na grade 3 100 iliwapate balo lenye nguo 500 (kama tulivyoona apo juu)
Kampuni nyingine inachukua nguo grade 1 100 ina changanya na grade 2 100 na grade 3 100 . Hii siri ni ya kampuni
Cha kuzingatia ni kujua baro limetoka nchi gani na jina la kampuni ilihusika kufu nga hizo nguo
Kwa bongo tuna mabalo ya china, uturuki na dubai kwa wingi. Leo ukifungua china kesho angalia na uturuki wana nguo zipi
Ila MABALO YA CHINA UWA WANANGUO SIZE NDOGO KUTOKANA NA MAUMBILE YAO NA UWA HAWAVAI SANA NGUO ZA DESINDER AU BRAND KAMA GUCCI LV KUTOKANA NA UTAMADUNI WAO WA KUPENDA VYA NYUMBANI
Soma uo uzi niliandika kw urefu
Ni swala la kielimu NI kweli baadhi ya makampuni ya kufungasha mitumba sio waaminifu na uchanganya na matambara. Siri iliojificha kwenye hii biashara. Mitumba mingi inayotoka china huwa ni ya size ndogo kwan maumbile ya wachina uwa n madogo ukiya linganisha na ya wa Africa. Inabidi yeye ange...
www.jamiiforums.com