Mwenye vyeti feki kawa-blackmail watu kawachukulia magari pesa na unga wao kaenda kuuza South Africa na china akitumwa Le mutuz ambaye ni kinata wa kuwachoma wengine, sasa mwenye vyeti feki kaja na mpya ya kuwachonganisha wahariri na akina ruge na wafanyakazi wao baada ya kusema ruge alikula pesa za oparation pia kijana wake sudi brown anashinda kwake akipiga story huku akiviita vyombo vinginevyo vya habari ni makanjanja, Daud Bashite amekuwa na mjinga zaidi kaamua kujitoa fahamu awakoroge wakati wanakorogana yy atakuwa anampigia debe dialo kuwa katibu mkuu wa CCM.Ingawa Makonda ni bashite ila kwa jinsi anavyowachezea akili hili jukwaa la Wahariri, anaonekana Genius