Balile yupo live Clouds Tv, tukae mkao wa kula

Balile yupo live Clouds Tv, tukae mkao wa kula

Hajazungumzia habari za mkoromije, amempuuza
Hahaaa atakuwa amestuliwa tu kwamba mzee kumbuka uliapa kutomzungumzia,lakini nia ilikuwa ni hiyo.Inashangaza sana watu wenye akili kama wewe mnajazwa upepo na masuala haya.
 
Hahaaa atakuwa amestuliwa tu kwamba mzee kumbuka uliapa kutomzungumzia,lakini nia ilikuwa ni hiyo.Inashangaza sana watu wenye akili kama wewe mnajazwa upepo na masuala haya.
Umeanza madharau ndiyo maana mimi huwa sipendi kuongea na wewe
 
Watanzania hatujielewi eti mnamchukia makonda kisa madawa ya kulevya hamna hata aibu sijui mnataka kiongozi wa aina gani nyie! Mtamzushia kila kitu kakin hatong'oka hata iweje.
SayNoToDrugs
 
Hajazungumzia habari za mkoromije, amempuuza
Atakuwa kaogopa kuitwa msaliti, maana angeonekana kumbe nayeye alikuwa na hamu ya kumsikiliza kama sisi. Ingawa nina uhakika alijifungia chumbani kumsikiliza ili akina Meena wasije wakamuona akasahau kuwa hata akina Meena walijfungia Geto kumsikiliza yule ambaye hawakutaka tumsikilize.
 
Inaonekana Jamaa anaikanyagia vizuri sana Dada yangu au? Manake si kwa mahaba haya yako ya Kiwendawazimu dhidi yake.

Heshimu mme wa mtu na mcha Mungu.

Wewe na yako ha ha haaaaaa, bonge la kiwembe usifikiri na wengine pia husiowajua.
 
Miluzi mingi,mara hatuandiki cho chote juu ya Makonda,Vituo vya Tv kutenga muda kumjadili,humu Jf watu usiseme kila usomapo thread nyingi ni Mh.Mkonda.Ifike mahali watu tuseme "PO".
 
Iwe bomba au mlingot huyo mtu mi kwangu ni expired..sina la kumsikiliza.ila namuheshimu tu coz ni binadamu mwenzang

Ulimsikiliza lazima haswa jana

Eti nini!!!! kwani unampunguzia kitu maishani mwake...ha ha ha haaaaa kiroja.

Eeeeeeeh
 
Ulimsikiliza lazima haswa jana

Eti nini!!!! kwani unampunguzia kitu maishani mwake...ha ha ha haaaaa kiroja.

Eeeeeeeh
Kwan we vp umelewa? Kwan mi nimesema namounguzia kitu? Kwan kosa lang nin? Nimesema simsikilizi inatosha..we unaemsikiliza endelea coz labda we anakuongezea kitu..kujipendekeza kubaya mkuu..unatumwa kama jini..[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom