Balile yupo live Clouds Tv, tukae mkao wa kula

Balile yupo live Clouds Tv, tukae mkao wa kula

Hivi hapo awali hakuziona hizo Tbc na star tv? Mbona kila kitu ilikuwa clouds tv na Radio? Yaani hao tibisii hawajitambui kabisa.. Mijitu inafanywa ya mikia na bado inampokea tu!! I wish I could be there ningemtimulia mbali huko mfyuuuuuuuuu
We ndio haujitambui ss ulutaka tbc nao pia wasiandike habaza Makonda halafu inawezekana na ww ukajiita msomi kweli wasomi wa nchi hii ni majanga bora hta ya hao wasio soma
 
Ingawa Makonda ni bashite ila kwa jinsi anavyowachezea akili hili jukwaa la Wahariri, anaonekana Genius
Nimekuchapa like mkuu, niliwahi kusikia kichaa akikunyoso kisha akaanza kukimbia nawe ukamfukuzia wewe ndio utaonekana kichaa. Sasa mwenye zero kawachokoza nao wanaanza kumkimbiza,[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapa wataonekana wao ndio wenye zero bora wange mute tu ili bwana yule aonekane ndio zero square.
 
Watanzania hatujielewi eti mnamchukia makonda kisa madawa ya kulevya hamna hata aibu sijui mnataka kiongozi wa aina gani nyie! Mtamzushia kila kitu kakin hatong'oka hata iweje.
Siku aking'oka nadhani utalia sana
 
Atawahenyesha mpaka wanyooke. Yaani mtu mwenye vyeti feki ndio anawachezesha kizembe namna hii!!! I wonder
Akili ndogo hujadili kuhusu watu,kubwa hujadili mambo tena yenye tija.Mi nahisi wewe ni kati ya watu wenye sababu za kupimwa IQ.Let nature takes control
 
Ni nini hiki?
mbulula huyo[emoji23]
1b5730128c09c898103df2921a452097.jpg
 
Atawahenyesha mpaka wanyooke. Yaani mtu mwenye vyeti feki ndio anawachezesha kizembe namna hii!!! I wonder
You will wonder for ever if you can not make out sense why people should keep on pressing Makonda to resign, keep talking of his evils, human right violation etc!
 
Back
Top Bottom