MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,701
- 71,035
Hebu tumsikilize labda anataka kujibu tuhuma za RC Makonda.
Hatimaye wanadansi mziki wa Makonda, wanadansi atakavyo Makonda.Hebu tumsikilize labda anataka kujibu upupu wa bashite
Atawahenyesha mpaka wanyooke. Yaani mtu mwenye vyeti feki ndio anawachezesha kizembe namna hii!!! I wonderHebu tumsikilize labda anataka kujibu upupu wa bashite
Hana jipya tumechoka na taarab zake na vijembeTunamsikiliza Mh. Makonda sasa hivi yupo live TBC....maendeleo ya Dar
Maji etc
Kwani yeye ukurutu umemuisha?vyombo vya Habari hivi ni business au wana malengo yao tofauti? MWAKYEMBE safisha hii tasnia ya habari
Subiri utolewe mtihani ndio utajua wanafunzi wanamuelewa nani.Ingawa Makonda ni bashite ila kwa jinsi anavyowachezea akili hili jukwaa la Wahariri, anaonekana Genius
Tunamsikiliza Mh. Makonda sasa hivi yupo live TBC....maendeleo ya Dar
Maji etc
Hana jipya tumechoka na taarab zake na vijembe
Ni nini hiki?Bado unyanyooka!?
Mkuu MKWEPA KODI link hamna tufuatilie mubashara??Hebu tumsikilize labda anataka kujibu tuhuma za RC Makonda.
We Zimema bado kuna mtu anaangaliaga TBC?Tunamsikiliza Mh. Makonda sasa hivi yupo live TBC....maendeleo ya Dar
Maji etc
hivi huko ccm hakuna kiongozi anayekosea? Mbona kila kitu mnasifia tu?Na hapa kazi tu
Na kumshangilia Mh. Makonda
hivi huko ccm hakuna kiongozi anayekosea? Mbona kila kitu mnasifia tu?
Hivi hujaona kosa la mkuu wa mkoa wewe?