Balile yupo live Clouds Tv, tukae mkao wa kula

Balile yupo live Clouds Tv, tukae mkao wa kula

Tunamlaumu Pauli Makonda aka Daudi Bashite . . , lakini niwaambie wana JF . . , tatizo kubwa kabisa nchi hii ni CCM . . !
Tatizo ni Raisi wetu, Mwenyekiti wa CCM . . !

Ukishakuwa Kiongozi ndani ya chama hiki, unaweza kuvunja katiba ya nchi na hakuna hata Mahakama itakayojigusa . . Ukiwa Raisi wa nchi hii unaweza ukafanya lolote kinyume na Katiba ya nchi , na bado ukapigiwa makofi ya hongera na Bunge la CCM, Mahakama, na wananchi wetu wanarithi ujinga huu . .

Ni hatari sana nchi hii . . !
 
h
Mkuu yupi wa mkoa na kosa lake ni lipi!?
Hivi huyu Bashite hana kazi na ya kufanya kutwa anahangaika mara TBC mara Sahara mara kwa wasanii hakai ofisini anatafuta kick kwa nguvu arudisha magari ya watu na aache kuomba ombre mali za watu mali mkubwa!!!!!
 
Akili ndogo hujadili kuhusu watu,kubwa hujadili mambo tena yenye tija.Mi nahisi wewe ni kati ya watu wenye sababu za kupimwa IQ.Let nature takes control
Hivi kwa akili yako ndogo tu uliyonayo, hata hao wapinzani huwa wanajafili ishu au mtu?
 
h
h

Hivi huyu Bashite hana kazi na ya kufanya kutwa anahangaika mara TBC mara Sahara mara kwa wasanii hakai ofisini anatafuta kick kwa nguvu arudisha magari ya watu na aache kuomba ombre mali za watu mali mkubwa!!!!!
Bashite hafai kuwa kiongozi hata kidogo ila analazimishwa kwa kuwa ni mtu wa visasi na kupenda kick kwani huko nyuma kabla hajavamia CLOUDS alikuwa hakai ofisini kwake kufanya Kazi alikuwa akishinda CLOUDS utadhani mtangazaji! halafu sasa hivi anapambana na RUGE badala ya kufanya shughuli za Maendeleo! ukiuliza anasema sababu anapambana na dawa za kulevwa waakt anayepambana na dawa za kulevya ni kamishna SIANGA huyu kijana sijui ana kizizi gani kwa MKULU
 
Ha ha ha haaaaaaaaa

Eeeeeeeeeeh

Utafikiri na macho na masikio yenu anayashikilia yamfuatilie


Andika lingine


Jembe la taifa

Makonda oyeeeeeee
Nimefuatilia sana mwisho nikagundua "Embe maji huwa linakusumba"
 
You will wonder for ever if you can not make out sense why people should keep on pressing Makonda to resign, keep talking of his evils, human right violation etc!
Methinks people are not pressing for Makonda to resign; rather they are pressing for his appointment to be rescinded. For those who know where this country has come from, the fellow is, to say the least a disgrace to public office.
 
Bashite hasafishiki ata kwa minara saba ya mwarobaini na alovera. Mwacheni abuy time. Anataka kucheza na akili za watu lkn bado anaonekana kituko. Astakhafilahii
 
Bashite hasafishiki ata kwa minara saba ya mwarobaini na alovera. Mwacheni abuy time. Anataka kucheza na akili za watu lkn bado anaonekana kituko. Astakhafilahii
Hata lowassa mlisema hasafishiki, unaoshaje cleanliness anyway??
 
Atawahenyesha mpaka wanyooke. Yaani mtu mwenye vyeti feki ndio anawachezesha kizembe namna hii!!! I wonder
Mimi nafikiri anayeenyeshwa ni appointing authority. Sisi mtu zero atatuennyeshaje? Tumesoma na tunavyofikiri vyeti vyetu halali hata kama ni std seven twelve or fourteen. Ni halaliiiiiiiiiii
 
ivi kuna mtu ana akili timamu unaweza ukasema bashite ni KIONGOZI fuatilia jinsi alivoongoza tangu akiwa mkuu Wa wilaya ndo utajua tu huyu hana tofauti na mbunge mmoja Wa bangi
 
Bashite hasafishiki ata kwa minara saba ya mwarobaini na alovera. Mwacheni abuy time. Anataka kucheza na akili za watu lkn bado anaonekana kituko. Astakhafilahii
Bashite ni kituko cha karne
 
Back
Top Bottom