Nguruvi3
Platinum Member
- Jun 21, 2010
- 16,608
- 34,800
Balile acha upuuzi! tunajua unachotaka kufanya ni kazi ya ''maridhiano'' ukishirikiana na Odero
Tunajua unalipwa pesa nyingi kwa kazi hiyo chafu bila kujali damu za watu zilizopotea Oct29
Ni wewe uliyeandamana na Polisi kwenda kuonesha mali na si watu waliouwawa. Ukatumika kwa pesa kuuza utu , elimu na ubinadamu wako. Katika jamii ya Tanzania Balile huna heshima yoyote , wewe ni kama mpuuzi mwingine asiyejali nchi hii. Njaa inakutoa utu na sasa unaendeleza chuki dhidi ya watu.
Kusema TL ana uchochezi kwa wakati huu ni ujinga uliopitiliza. Hivi akishinda rufaa utakuja kufuta maneo yako!
Kama alipelekewa notisi na kukataa kujibu unajua mkakati wake. Balile ana chuki dhidi ya Lissu kwa miaka mingi
Balile kaa na CCM wanaokutuma utumie kalamu yako hovyo pamoja na vyama 16 mtafute maridhiano
CHADEMA haikuhusu wala haihitaji maridhiano kwasababu haijui ni ya nini , kati ya nani na nani na kwanini
Hata wewe pamoja na uandishi wako hakuna siku umejibu maridhiano ya nini , nani , kwanini, lini na wapi
Balile umasikini unaweza kutibiwa kwa njia nyingi, hii ulilochagua linakudhalilisha! huna tofauti na changudoa
CHADEMA imesema haitakaa mezani itaendelea kushughulika na suala la Mwenyekiti wao, wewe kakae na waliokutuma mfanye maridhiano! buffoon Balile