Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,728
- 46,997
Balile muda ni hakimu wa haki.
Yuko sahihi sana Tena kachelewa kusema😂😂😂😂😂kwamba akishafungwa ndo. aende kwenye maridhiano. Kumbe kifungo ni cha kutafuta maridhiano🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Balile yuko sahihi![]()
Hawajawahi kuwa na misimamo Hawa nyumbu na hawaeleweki wanasimama na lipi🚮Na kesho akiachiwa wanageuka na kusifu kama wasio na vichwa vya kufikiri.
siku akiachiwa kwenye rufaa utatueleza uchochezi wake piga kelele kama bwabwa.
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile ameeleza kuwa Mahakama Kuu ya Tanzania imetenda kwa mujibu wa sheria katika kumtia hatiani na kumhukumu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Antiphas Lissu, kifungo cha miaka minne jela kwa kosa la uchochezi.
Balile ameyasema hayo akizungumzia uamuzi huo wa Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, uliomvua Lissu mashtaka ya uhaini na kumtia hatiani kwa kosa dogo la uchochezi, huku akisisitiza kuwa njia pekee ya kuijenga nchi ni kurejea kwenye meza ya mazungumzo.
“Bado ninaamini mlango wa kuzungumza upo kwamba mheshimiwa Rais anayo nafasi katika hili, hakuna kosa ambalo Rais hawezi kusamehe, hakuna hukumu ambayo rais hawezi kusamehe kwa mujibu wa sheria.
Kwahiyo hapa mazungumzo yaendelee kwamba CHADEMA, CCM, Watanzania kwa ujumla tuangalie tunaijengaje nchi yetu, maana nimesema mara kadhaa hata tukipambana kwa kiwango gani mwisho wa siku tutarudi kwenye meza ya mazungumzo”, ameeleza Balile.
Pia soma: BREAKING: Tundu Antipas Lissu afungwa miaka 4 kwa kosa dogo la Uchochezi
wimbo wa lissu mhain umekufa mnajifariji na hukumu ya tiss ya lushoto machokoBalile yuko sahihi![]()
baada ya hiyo hukum ya tiss ya lushoto iliyowafanya muonyeshe uchoko wenu kwenye rufaa mtapiga milio nguruwe nyinyiUtaruka ruka tu,lakini ndiyo serekali yetu,sikuwahi kusema neno kunyonga kamwe,nilisisitiza kifungo cha miaka mitano,cha nje!,huku akizuiwa kufanya shughuli za kisiasa ndani ya kifungo.
Katika wapumbavu wawili saba umepeleka idadi mbaliKatika wapumbavu saba hili nalo limo
Anajuaje ya kwamba mahakama imetenda haki?
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile ameeleza kuwa Mahakama Kuu ya Tanzania imetenda kwa mujibu wa sheria katika kumtia hatiani na kumhukumu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Antiphas Lissu, kifungo cha miaka minne jela kwa kosa la uchochezi.
Balile ameyasema hayo akizungumzia uamuzi huo wa Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, uliomvua Lissu mashtaka ya uhaini na kumtia hatiani kwa kosa dogo la uchochezi, huku akisisitiza kuwa njia pekee ya kuijenga nchi ni kurejea kwenye meza ya mazungumzo.
“Bado ninaamini mlango wa kuzungumza upo kwamba mheshimiwa Rais anayo nafasi katika hili, hakuna kosa ambalo Rais hawezi kusamehe, hakuna hukumu ambayo rais hawezi kusamehe kwa mujibu wa sheria.
Kwahiyo hapa mazungumzo yaendelee kwamba CHADEMA, CCM, Watanzania kwa ujumla tuangalie tunaijengaje nchi yetu, maana nimesema mara kadhaa hata tukipambana kwa kiwango gani mwisho wa siku tutarudi kwenye meza ya mazungumzo”, ameeleza Balile.
Pia soma: BREAKING: Tundu Antipas Lissu afungwa miaka 4 kwa kosa dogo la Uchochezi
Muislam utamjua , kama mwanamke atakuwa anavaa hijab, kama mwanamme ataonekana msikitini japo 1 kati ya 5 kwa siluUnawezaje kujua dini ya mtu mzima kwa jina lake tu mkuu? Mtu anaweza kuitwa jina linalotumiwa na watu wa dini fulani lakini yeye sio muhumini wa dini hiyo.
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile ameeleza kuwa Mahakama Kuu ya Tanzania imetenda kwa mujibu wa sheria katika kumtia hatiani na kumhukumu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Antiphas Lissu, kifungo cha miaka minne jela kwa kosa la uchochezi.
Balile ameyasema hayo akizungumzia uamuzi huo wa Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, uliomvua Lissu mashtaka ya uhaini na kumtia hatiani kwa kosa dogo la uchochezi, huku akisisitiza kuwa njia pekee ya kuijenga nchi ni kurejea kwenye meza ya mazungumzo.
“Bado ninaamini mlango wa kuzungumza upo kwamba mheshimiwa Rais anayo nafasi katika hili, hakuna kosa ambalo Rais hawezi kusamehe, hakuna hukumu ambayo rais hawezi kusamehe kwa mujibu wa sheria.
Kwahiyo hapa mazungumzo yaendelee kwamba CHADEMA, CCM, Watanzania kwa ujumla tuangalie tunaijengaje nchi yetu, maana nimesema mara kadhaa hata tukipambana kwa kiwango gani mwisho wa siku tutarudi kwenye meza ya mazungumzo”, ameeleza Balile.
Pia soma: BREAKING: Tundu Antipas Lissu afungwa miaka 4 kwa kosa dogo la Uchochezi
Hapa umeongelea matendo yao. Hii ni rahisi kumtambua mtu his/ her religious affiliation.Muislam utamjua , kama mwanamke atakuwa anavaa hijab, kama mwanamme ataonekana msikitini japo 1 kati ya 5 kwa silu
Balile ni Takataka hajui sheria hajui chochote zaidi ya kuwaza Uteuzi kisha kuongea pumba aizani itampa kiki, kesi ya uchochezi ilisomwa lini hapo mahakamani? nani aliwahi kuitolea ushahidi? Kutoa hukumu kwa kesi ambayo haikuwepo ndiyo Balile aonekane anajua ? Hako kabalile kamekuwa kajitu ka hovyo sana hakawazi kwa niaba ya watanzania waliopevuka kanawaza kwa niaba ya njaa zake
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile ameeleza kuwa Mahakama Kuu ya Tanzania imetenda kwa mujibu wa sheria katika kumtia hatiani na kumhukumu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Antiphas Lissu, kifungo cha miaka minne jela kwa kosa la uchochezi.
Balile ameyasema hayo akizungumzia uamuzi huo wa Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, uliomvua Lissu mashtaka ya uhaini na kumtia hatiani kwa kosa dogo la uchochezi, huku akisisitiza kuwa njia pekee ya kuijenga nchi ni kurejea kwenye meza ya mazungumzo.
“Bado ninaamini mlango wa kuzungumza upo kwamba mheshimiwa Rais anayo nafasi katika hili, hakuna kosa ambalo Rais hawezi kusamehe, hakuna hukumu ambayo rais hawezi kusamehe kwa mujibu wa sheria.
Kwahiyo hapa mazungumzo yaendelee kwamba CHADEMA, CCM, Watanzania kwa ujumla tuangalie tunaijengaje nchi yetu, maana nimesema mara kadhaa hata tukipambana kwa kiwango gani mwisho wa siku tutarudi kwenye meza ya mazungumzo”, ameeleza Balile.
Pia soma: BREAKING: Tundu Antipas Lissu afungwa miaka 4 kwa kosa dogo la Uchochezi
Balile hafai kuongoza popote ni mtu juha mbumbumbu kilaza wa kutupwa njaa zimemtoa fahamu zooteHuyo ndiye kiongozi wa wahariri ambao wanategemewa wafanyakazi wao wafànye kazi mujibu wa muongozo wao unaowataka bila upendeleo Wafuate utaratibu wa 5W, 1H.
Ili taarifa inapomfikia mlaji yaani msomaji, msikilizaji na mtazamaji yeye ndie awe msemaji au muamuzi wa alichokipokea kutoka kwenye chombo cha habari, kwa viongozi kama hawa.
Bado tuna safari ndefu sana kwenye tasnia ya habari.
Hasa unatakiwa umtizame nini?Hapa umeongelea matendo yao. Hii ni rahisi kumtambua mtu his/ her religious affiliation.
Balile kichwani hana ubongo kajaza kamasi ndoo tatu ni aina ya wazee wa hovyo waliosalia NchiniBalile sisi tunatunza risiti hii ipo siku utakuja kujutia maneno yako haya.
Balile ni mvuta Bangi ni kazee ka hovyo sanaBalile huyu jamaa muda mrefu kichwa yake haipo sawa..