PostGE2025 Balile: Lissu alifanya uchochezi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile ameeleza kuwa Mahakama Kuu ya Tanzania imetenda kwa mujibu wa sheria katika kumtia hatiani na kumhukumu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Antiphas Lissu, kifungo cha miaka minne jela kwa kosa la uchochezi.

Balile ameyasema hayo akizungumzia uamuzi huo wa Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, uliomvua Lissu mashtaka ya uhaini na kumtia hatiani kwa kosa dogo la uchochezi, huku akisisitiza kuwa njia pekee ya kuijenga nchi ni kurejea kwenye meza ya mazungumzo.

“Bado ninaamini mlango wa kuzungumza upo kwamba mheshimiwa Rais anayo nafasi katika hili, hakuna kosa ambalo Rais hawezi kusamehe, hakuna hukumu ambayo rais hawezi kusamehe kwa mujibu wa sheria.

Kwahiyo hapa mazungumzo yaendelee kwamba CHADEMA, CCM, Watanzania kwa ujumla tuangalie tunaijengaje nchi yetu, maana nimesema mara kadhaa hata tukipambana kwa kiwango gani mwisho wa siku tutarudi kwenye meza ya mazungumzo”, ameeleza Balile.

Pia soma: BREAKING: Tundu Antipas Lissu afungwa miaka 4 kwa kosa dogo la Uchochezi
Sawa ashtakiwe kwa uchochezi. Siyo ugaidi halafu mnabadili kwenye hukumu. What kind of lawyer are you?
 
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile ameeleza kuwa Mahakama Kuu ya Tanzania imetenda kwa mujibu wa sheria katika kumtia hatiani na kumhukumu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Antiphas Lissu, kifungo cha miaka minne jela kwa kosa la uchochezi.

Balile ameyasema hayo akizungumzia uamuzi huo wa Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, uliomvua Lissu mashtaka ya uhaini na kumtia hatiani kwa kosa dogo la uchochezi, huku akisisitiza kuwa njia pekee ya kuijenga nchi ni kurejea kwenye meza ya mazungumzo.

“Bado ninaamini mlango wa kuzungumza upo kwamba mheshimiwa Rais anayo nafasi katika hili, hakuna kosa ambalo Rais hawezi kusamehe, hakuna hukumu ambayo rais hawezi kusamehe kwa mujibu wa sheria.

Kwahiyo hapa mazungumzo yaendelee kwamba CHADEMA, CCM, Watanzania kwa ujumla tuangalie tunaijengaje nchi yetu, maana nimesema mara kadhaa hata tukipambana kwa kiwango gani mwisho wa siku tutarudi kwenye meza ya mazungumzo”, ameeleza Balile.
Mawazo yake yaheshimiwe

Nau
 
HIki cheo cha Mwenyekiti wa jukwaa la wahariri Bwana Balile anatamba nacho sana. Hivi ni wahariri wa kitu gani? Magazeti? Au wahariri wa vyombo gani haswa? Kama ni Magazeti alie tu. Wasoma magazeti wamepungua kwa 85%. Kwa sasa watu tunapata habari na taarifa kupitia social media.
Hiko cheo chake ni takataka kabisa.
 
Utaruka ruka tu,lakini ndiyo serekali yetu,sikuwahi kusema neno kunyonga kamwe,nilisisitiza kifungo cha miaka mitano,cha nje!,huku akizuiwa kufanya shughuli za kisiasa ndani ya kifungo.
Ila Samia sijui alifikaje aisee mpaka akawa Raisi,nchi hii kuna shida kubwa
 
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile ameeleza kuwa Mahakama Kuu ya Tanzania imetenda kwa mujibu wa sheria katika kumtia hatiani na kumhukumu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Antiphas Lissu, kifungo cha miaka minne jela kwa kosa la uchochezi.

Balile ameyasema hayo akizungumzia uamuzi huo wa Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, uliomvua Lissu mashtaka ya uhaini na kumtia hatiani kwa kosa dogo la uchochezi, huku akisisitiza kuwa njia pekee ya kuijenga nchi ni kurejea kwenye meza ya mazungumzo.

“Bado ninaamini mlango wa kuzungumza upo kwamba mheshimiwa Rais anayo nafasi katika hili, hakuna kosa ambalo Rais hawezi kusamehe, hakuna hukumu ambayo rais hawezi kusamehe kwa mujibu wa sheria.

Kwahiyo hapa mazungumzo yaendelee kwamba CHADEMA, CCM, Watanzania kwa ujumla tuangalie tunaijengaje nchi yetu, maana nimesema mara kadhaa hata tukipambana kwa kiwango gani mwisho wa siku tutarudi kwenye meza ya mazungumzo”, ameeleza Balile.

Pia soma: BREAKING: Tundu Antipas Lissu afungwa miaka 4 kwa kosa dogo la Uchochezi
Kama huyu ndio mwenyekiti wa jukwaa la wahariri unategemea vyombo vya habar nchini vitakuwa na weredi?
 
1.Mary Chitanda alisema akipata siku moja atawamaliza wapinzani-Upinzani upo kisheria na alipobanwa wakasema ni tambo za kisiasa.
2.Mpwa wa Magufuli alisema kwa ishara kuwa haitakuwa risadi tena bali sindano-Huu si uchochezi kweli?
3.Nape alieleza mbele ya camera jinsi ya kuiba uchaguzi akiwa Bukoba-Kweli huu si uchochezi?
3.Mwaipopo ameunda jeshi lake na Katambi katuambia hakua na nia mbaya.
Double standard itaumiza Taifa hili na kwa kweli tupo raia tabaka mbili.Kwa ushauri hata kama huipendi CCM kwa sisi tusio na majina tafadhali chukua kadi;Itakusaudia.
 
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile ameeleza kuwa Mahakama Kuu ya Tanzania imetenda kwa mujibu wa sheria katika kumtia hatiani na kumhukumu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Antiphas Lissu, kifungo cha miaka minne jela kwa kosa la uchochezi.

Balile ameyasema hayo akizungumzia uamuzi huo wa Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, uliomvua Lissu mashtaka ya uhaini na kumtia hatiani kwa kosa dogo la uchochezi, huku akisisitiza kuwa njia pekee ya kuijenga nchi ni kurejea kwenye meza ya mazungumzo.

“Bado ninaamini mlango wa kuzungumza upo kwamba mheshimiwa Rais anayo nafasi katika hili, hakuna kosa ambalo Rais hawezi kusamehe, hakuna hukumu ambayo rais hawezi kusamehe kwa mujibu wa sheria.

Kwahiyo hapa mazungumzo yaendelee kwamba CHADEMA, CCM, Watanzania kwa ujumla tuangalie tunaijengaje nchi yetu, maana nimesema mara kadhaa hata tukipambana kwa kiwango gani mwisho wa siku tutarudi kwenye meza ya mazungumzo”, ameeleza Balile.

Pia soma: BREAKING: Tundu Antipas Lissu afungwa miaka 4 kwa kosa dogo la Uchochezi
This man, Balile, is super intelligent.
 
Huyu Kyuma sana ,hilo Kosa la uchochezi ndilo alifunguliwa nalo kesi
 
Tanzania tuna mataahira wengi sana..!!
Ni kwamba hawajamsikia Lissu anachokitaka au mnatafuta teuzi?
 
Pamoja na Lissu kuonekana kama amefanya uchochezi, ilikuwa muhimu kupewa notice of substitution of charge (Fair trial enhancement) kabla ya kutiwa hatiani na kuadhibiwa.
Haki itendeke na ionekane kwamba imetendeka.
A very reasonable ground for appeal.
 
Back
Top Bottom