balile

Gerald Lee Baliles (July 8, 1940 – October 29, 2019) was a Virginia lawyer and Democratic politician whose career spanned great social and technological changes in his native state. The 65th Governor of Virginia (from 1986 to 1990), the native of Patrick County previously served as the Commonwealth's attorney general (1982–85), and represented Richmond and Henrico County in the Virginia House of Delegates (1972-1982). After another stint in private legal practice, with Hunton & Williams (1991-2005), Baliles directed the nonpartisan Miller Center of Public Affairs associated with his alma mater, the University of Virginia (2006-2014).

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Waandishi wa habari Tanzania wanaongozwa na Balile?

    Waandishi wa habari wa Tanzania wanaongozwa na Balile? Uongozi wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) Mwaka 2016 alichaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa TEF. Mwaka 2021 alichaguliwa kuwa Mwenyekiti wa TEF. Tarehe 5 Aprili 2025 alichaguliwa tena kuwa Mwenyekiti kwa kipindi kingine cha miaka minne.
  2. M

    JamiiForums PostGE2025 Balile: Lissu alifanya uchochezi

    Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile ameeleza kuwa Mahakama Kuu ya Tanzania imetenda kwa mujibu wa sheria katika kumtia hatiani na kumhukumu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Antiphas Lissu, kifungo cha miaka minne jela kwa kosa la...
  3. M

    JamiiForums BALILE BANA

    Nashindwa kuandika zaidi, lkn kama mwenyekiti ndio hivi, wafuasi watakuwa vipi?
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Balile: Mwandishi unasema una hofu, hofu ya nini? Mtaua uandishi

    Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile, amewakosoa baadhi ya waandishi wa habari na wadau kwa kujenga mtazamo wa hofu unaoua taaluma ya uandishi wa habari badala ya kutumia fursa na sheria zilizopo kupata taarifa. Amezungumza hayo katika maadhimisho ya Siku ya...
  5. M

    JamiiForums Balile: Wasijulikana kwa sasa wamepungua au wamepotea hadi msamiati huo kwa sasa umesahaulika kama panya road

    Kibanda: Balile amezungumzia sana kuhusu Jamhuri na kazi anazofanya. Aliyekuwa Makamu wa Rais, Dr. Emmanuel Nchimbi, alizungumza kwenye shughuli moja kuhusu haja ya katiba mpya. Na Balile akaandika makala akimpongeza Makamu wa Rais Nchimbi. Na akasema kile alicho fanya kilikuwa ni sahihi. Labda...
  6. Sifi Leo

    JamiiForums Chuki za Balile na CHADEMA ni za wazi mno, je CHADEMA ikichukua nchi ataweka wapi sura na familia yake?

    Nimefuatilia mjadala wa chief odemba na wale ambao waita waandishi wa habari nzuri,nakili baadhi yao ni nguli kweli kweli, ila wengine ni mamluki wa tabaka tawala. Balile aliulizwa kuna waandishi wa habari na wahariri wapo news room lakini wakati wa uchaguzi walionekana live kuvalia nguo za...
  7. Sifi Leo

    JamiiForums Uwezi amini, Bakile siku ya 29/10/2025,alitoka ukonga mpaka ubungo aliona tu ofisi ya mtendaji ikiingia,aliona watu wamelala barabarani akajua wamepum

    Uandishi wa habari, wa nchiii aise aise aise aise Bakile siku ya uchaguzi alitoka barabarani kutoka ukonga banana, mpaka ubungo, alishuhudia ofisi ya mtendaji ikiweka moto tu hakuona kitu kingine. Alipoulizwa hakuona vijana waliouawa, akajibu pengine aliwaona lakini yeye aliona watu wamelala...
  8. Sifi Leo

    JamiiForums Naumizwa na ujinga huu, nifanyeje? Mtu kama Balile anashindwa kujibu SWALI la Kharifani wa the CHANZO real? Hakuna kitu kibaya kama kusoma ushakuwa

    Miaka mingi iliyopita nikiwa nimehitimu elimu ya juu, nilikutana na Dada mmoja naomba nimtaje anajulikana kwa JINA la ivone Kamuntu, Dada huyu Mimi nilisoma nae o level pale Airwing, tulifaamiana maana wote tulikuwa serikali ya wanafunzi naweza sema yeye alinujua sana Mimi maana Mimi zama zile...
  9. Pascal Mayalla

    JamiiForums What Happened in Oct. 29: Pongezi Balile wa TEF Kwa Uzalendo, Ila Tanzania Tunatia Aibu!. Tutategemea Wageni Mpaka Lini?!. Tujenge Uwezo wa Ndani!.

    Wanabodi, Hili ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo, nikitoa pongezi kwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, TEF, Deodatus Balile, kwa uzalendo wake kuhusu kile kilichotokea October 29, katika filamu kuhusu kilichotokea. Kiukweli, Tanzania na Watanzania, tunatia aibu...
  10. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Balile: Hatukubaliani na ufungaji wa vyombo vya habari wala vitisho wanavyopata waandishi wa habari

    Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deogratius Balile amesema katika maadhimio yao wameweka wazi kuwa awakubaliani na ufungiaji wa Vyombo vya Habari, kama JamiiForums, Jambo Tv au vitisho au manyanyaso wanayopata Waandishi wa Habari . Soma Pia: Maxence Melo: Hali ya Vyombo vya...
  11. R

    JamiiForums Balile: Watu walikuwa wakiulizia wangapi wamefariki Takwimu zimepatikana, Rais amesema waliohusika wawajibike binafsi

    Deodatus Balile, Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) akizungumza na waandishi wa habari Aprili 23, 2026 baada ya Tume ya Kuchunguza Matukio yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Oktoba 2025, kukabithi ripoti kwa Rais Samia Soma pia PostGE2025 - Jaji Chande: Waliofariki kutokana na...
  12. Pascal Mayalla

    JamiiForums Live from Nairobi: Africa Editors Congress, Wahariri wa Africa Kujadili Changamoto za Media, Deo Balile wa TEF na Mkuu Max wa JF Ndani ya Nyumba!.

    Wanabodi, Niko hapa ukumbi wa Aga Khan University, kuwaripotia live, kinachoendelea kwenye huu mkutano ambapo Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, Deodatus Balile, atawasilisha mada ya Media Sustainability amid Digital Era. Miongoni maw watu muhimu nimewaona hapa, ni Boss wa JF, Mkuu...
  13. R

    JamiiForums Hivi kuna mtu anasoma upuuzi wa Deodatus Balile

    Nimeuliza, tu maana yule ni chawa bobezi......Nshomile takataka
  14. W

    JamiiForums Balile alipanick Media za Tanzania kupewa taswira ya toilet paper kabla ya uchaguzi. Mbona sasa hivi yuko kimya?

    Mwezi Julai 2025, aliyekuwa mtangazaji wa Clouds FM na kipindi cha Power BreakFast, Masoud Kipanya, alichora Cartoon ambayo mtu yupo chooni alafu Toilet paper imeandikwa MEDIA, akiwa na maana kuwa Media zinatumika vibaya kwa maslahi ya wachache na si kwa maslahi ya jamii nzima kutokana na...
  15. R

    JamiiForums GE2025 Deodatus Balile: Waandishi wa habari tulishindwa kuendelea kuripoti Matukio Oktoba 29 sababu ya Mtandao kuzima

    Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile akizungumza Novemba 5, 2025 katika Mjadala wa Nafasi ya Vyombo vya habari katika uchaguzi wa Tanzania na DW ameelezea kuhusu Waandishi wa habari na Wahariri walikuwa wapi wakati wa uchaguzi swali ambalo limezua gumzo Mtandaoni...
  16. baz kaiza

    JamiiForums Msiofahamu, Balile ni Miongoni mwa wanamtandao

    Balile ni kijana wa Rostam anatumiwa na Wanamtandao mpuuzeni mfutilie Istoria yake ametokea wapi ameshafanya kazi kwenye kampuni ya Rostam na Chanel ten huyo ni kijana wa wana mtandao
  17. Carlos The Jackal

    JamiiForums Majibu yangu kwa Balile wa TEF kuhusu barua yake. Lini ulikemea, utekaji, uuaji na uminywaji wa haki kwa watu na vyama vya siasa?

    Tunakujua Ndani nje , tunajua Maisha yako na Mali zako ambazo umezipata Kwa Hila , tukikaa vijiweni unajitamba Kwa majumba yako uloyapata au sio ?. Mara ya Mwisho tumekaa Butiama. Ujifungue mwenyewe Chumbani kwako, Mkeo akikupikia Chai, kwakua tu wee ni TISS na Mwenyekiti wa TEF ndio uje na...
  18. Waufukweni

    JamiiForums GE2025 Mwenyekiti wa TEF, Balile: Watu mtandaoni wanajizima data au sijui hamnazo? Tanzania kuna maendeleo hadi vjijini

    Deodatus Balile, Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) akizungumza na Clouds TV leo, Septemba 29, 2025 amesema; "Wakati tunakua miaka ya 70 hadi 80 tulikuwa tunaoga mtoni pale kijijini kwetu. Mimi natokea Bukoba Vijijini kuna kijiji kinaitwa Nyanga. "Nina ndugu zangu wapo kijiji...
  19. JOHNGERVAS

    JamiiForums Balile amesema waandishi wanaoikosoa serikali ni Vibaraka wa upinde.

    Kwa mujibu wa Andiko la Boni Yai (EX-MAYOR Ameandika hivo kupitia andiko hili anaandika Boni Yai BALILE NI MWANDISHI AU DOLA..? MASWALI KUMI (12) KWA BALILE. 1.Balile anawezaje kugeuka kuwa mchomaji wa waandishi wenzake wa Habari..? 2.Balile aliyefundishwa kujifundisha na kukosoa jamii...
  20. R

    JamiiForums Balile alalamikia Kipanya kuwalinganisha media na Toilet paper

    Ndio ukweli media za hapa zinatumiwa kama toilet paper na wenye madaraka Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Jamhuri, na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Deodatus Balile amelalamika waharirir wa habari/wanahabaria/media kuitwa/kulinganishwa na Toilet pape Tanzania (TEF)
Back
Top Bottom