Mtazamo wa Rostam Azizi (kabla ya kuomba radhi) ulikuwa kwamba mahakama zetu si huru na maamuzi yake yanategemea maelekezo toka nje ya mhimili huo.
Baada ya Hukumu ya Kesi ya Uhaini iliyokuwa inamkabili Tundu Lissu, mwangi wa maneno hayo ya Rostam umesikika masikioni mwangu!!
Sheikh Saidi Mwaipopo akizungumza na Waandishi wa Habari Novemba 07, 2026 ametoa wito kwa vyombo vya ulinzi na usalama kumgeukia Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John heche na kuchunguza kauli zake akidai alizungumza maneno ya kichochezi kabla ya uchaguzi hivyo anapaswa kupitia hatua zote kama...
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile ameeleza kuwa Mahakama Kuu ya Tanzania imetenda kwa mujibu wa sheria katika kumtia hatiani na kumhukumu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Antiphas Lissu, kifungo cha miaka minne jela kwa kosa la...
ADHABU YA LISSU NI YA KIMKAKATI
Jaji ametoa miaka 4 kwa TAL pasipo kuzingatia KANUNI & MIONGOZO ya utoaji ADHABU! Kisheria, adhabu inapaswa kutolewa kwa kuzingatia sheria & miongozo. Huu ni UTARATIBU wa LAZIMA sio hiyari ya Jaji. Kanuni ambazo mahakama imekiuka KIMKAKATI:
1. KUKIUKWA KWA...
Wakili Peter Madereka amesema hukumu iliyotolewa na Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, dhidi ya mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, imeweka hadharani jambo ambalo wengi walikuwa wakibishana kulihusu: kama mwaka jana kulikuwa na uchaguzi au la.
Kwa mujibu wa Madereka...
Mwanasiasa aliyegombea Urais wa Tanzania Mwaka 2025 kupitia CHAUMMA Salum Mwalimu amesema Mambo ya Kisiasa yanamalizwa kwa njia mbili za Kisiasa (Mazungumzo) na Sheria.
Amesema Njia ya Sheria tayari imefika mwisho na imetoa hukumu ya Kifungo cha miaka minne kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, amezungumza leo Novemba 6, 2026, kufuatia hukumu ya miaka minne jela iliyotolewa dhidi ya Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu. Heche amesema Lissu amesisisitiza kuwa hakuna kupiga magoti mbele ya uovu.
Soma pia Lissu ahukumiwa miaka minne jela kwa...
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, amezungumza leo Novemba 6, 2026, kufuatia hukumu ya miaka minne jela iliyotolewa dhidi ya Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu, kwa kosa la uchochezi.
Soma pia Lissu ahukumiwa miaka minne jela kwa kosa la Uchochezi...
Kosa la uhaini halipo tena...
Jamhuri imeshindwa kuthibitisha kwa ushahidi kuwa alitenda uhaini..
Cha ajabu ni kuwa, katengenezewa kosa palepale na Jaji Danstan Nduguru na wenzake, kosa la uchochezi ambalo halipo kwenye hati ya mashitaka na ambalo hajawahi kujitetea kwalo
==============...
Leo November 6, 2026
Last time tuliishia part 493 so leo tunaendelea na -;
Part 494.
Karani amewasha kipaza sauti kutoa Tangazo kuwa watu wakae kwenye viti vyao na simu zao wahakikishe zinatolewa sauti na milio ya aina yote.
Waandishi wa Habari na wao wako wakutosha sijawahi kuwaona...
Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam imekataa hoja za Tundu Lissu kuhusu uhalali wa hati ya mashtaka ya kesi ya uhaini inayomkabili, huku ikikubaliana na hoja za Jamhuri kuwa hati hiyo iko sahihi.
Katika hoja zake za mwisho, zilizowasilishwa baada ya pande zote kufunga ushahidi, Lissu...
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam, SACP Jummane Muliro, akiwa katika viunga vya Mahakama leo Novemba 6, 2026, siku ya Hukumu ya Kesi Uhaini ya Tundu Lissu, ameeleza kuwa mpaka sasa hali inaendelea vizuri na Wananchi wanaendelea na Shughuli zao.
Ikumbukwe siku ya Jumanne Novemba 3...
Kada wa CHADEMA, Mchungaji Peter Msigwa, ameongoza Sala Mahakamani leo Novemba 6, 2026 ikiwa ni siku ya hukumu ya kesi ya Uhaini dhidi ya Mwenyekiti wa Chama hicho Tundu Antipas Lissu.
Fuatilia updates za hukumu leo UPDATES: Yanayojiri Mahakamani kwenye Hukumu ya Kesi ya Uhaini dhidi ya...
Hukumu ya Tundu Lissu inaenda kusomwa leo November 6, 2026, tukio kubwa ambalo kila Mtanzania, mwanademokrasia, mpigania haki na mpenda haki, uhuru wa mahakama, uhuru wa maoni, kukusanyika na uraia kwa ujumla anataka kujua litaenda vipi.
Ni kama wakati ule wa skendo za Richmond, Escrow na...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kinakusudia kupeleka maombi mahsusi kwa uongozi wa Mahakama, ili ikiwezekana HUKUMU ya KESI ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa chama hicho Taifa Tundu Lissu inayotarajiwa kutolewa Novemba 06.2026 irushwe Mubashara (LIVE) na Vyombo vya Habari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.