CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 12,241
- 27,775
Huyo Balile atakuwa Mwanasheria kichaa.
1. Lissu alikuwa na kesi ya uchochezi Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Kwa hale yale maneno Maarufu ya kuzuia Uchaguzi, kukinukisha nk.
2. Alipata Dhamana ya uchochezi kisutu. Akapelekwa Mahakama kuu Kustakiwa Uhaini.
3. Mahakama kuu huwa haisikilizi kesi za Uchochezi.
Nduguru ameivua nguo kada ya Sheria.
BALILE LILE BICHWA LAKE LIMEJAA KAMASI.