Balali yuko HAI - He is not dead

Status
Not open for further replies.
Mbona waskaji wengi walio kufa wanasema jina la Balali halipo kweny kitabu wala kweny rolcall jamaa haonekani.
 
Niliwahi kutonywa na jamaa m1 yuko kwenye taasisi moja muhimu hapa bongo akanambia, BALALI'S DEATH is UNREAL!

Mie nahisi ajafa ila serikali ikiona inazidiwa watamuua kweli sasa so nae akae mguu sawa. Ukisingiziwa umekufa nawe ufe kwel co unajiachiaachia pipo zinakuona unawapa tab walio danganya.
 
Mie nahisi ajafa ila serikali ikiona inazidiwa watamuua kweli sasa so nae akae mguu sawa. Ukisingiziwa umekufa nawe ufe kwel co unajiachiaachia pipo zinakuona unawapa tab walio danganya.

Heheheh ukibebwa jishikilie aisee...ye anajisahau sasa
 
Yatasemwa mengi tu..cjui alazwe mahali pema peponi au kama uko hai we kula bata tu
 
Wakati wanaojidai wapiganaji wanaongea siasa, unajiuliza hivi hawa wapigani au wapiga porojo? Si makosa yenu ni Jumamosi leo. Mnanchekesha.

mh mshereheshaji wa sisiem eti tupe ukweli kafa au ni changa la macho.
 
Binafsi nilisikia hivyo hivyo kwamba vc chancellor lipoambiwa akamtonya ****** kwamba jamaa kamba Mwaikusa ameshajua ukweli kuhusu balali na anaongea kwa watu. Nyeti zinadai kuwa hata Baregu aliambiwa na Mwaikusa

huyo jamaa pamoja na kuwahi kuwa mshauri na kada, ni mtu wa system sana pia na Dr. mmoja wa industrial economy
watanzania wakachezewa kwa kuhusisha kifo cha prof na kesi za rwanda, uchunguzi haujakamilika.khaaa
 
Mbona ukitaka kujua kuwa jamaa yuko hai ni simple sana.Subiri serikali ya Tanganyika ikiingia madarakani tutawapa wananchi ukweli hachana na hawa j k a y a m a n
 
Dumelang, habari ya mwisho wa wiki. If Balali is still alive I am happy and every one elae should because the guy is innocent. There are those who are responsible for EPA and are walking freely while Balali is hiding and worst they are telling lies that he is dead. Unless he has been "cloned." Uongo utafikia mwisho wake tu. Do not panic you are just getting to know the world.

Jamani wana JF sijui kama nanyi mlisha isikia hii! nitaanzia mbali mpate picha

Juzi baada ya kazi ni niliingia sehemu furani kupata chakula ilikuwa mida ya mchana, kwakuwa ni katikati ya mji kulikuwa na wafanya kazi wengi kidogo pale.

kama mnavyojua wabongo na story za siasa kwa hivi sasa ni balaa, basi kukawa na kundi furani linazungumzia Tume zisizo leta majibu za Tanzania, katika matukio mbalimbali. Dada mmoja akauliza hivi ule uchunguzi wa mauaji ya Prof aliyeuawa kwa risasi mlangoni kwake nao bado eeh?

hapa ndipo sasa tittle yangu inapoanzia! jamaa mmoja kajibu akasema haiwezi letwa habari hiyo hata siku moja kwani:

YULE PROFESA ALIUWAWA BAADA YA KUTEMBELEA MAREKANI KATIKA JIMBO FURANI HUKO ALIMWONA GAVANA WA B.O.T ANAYEDAIWA KUFA, KISHA AKAJA KUMWAMBIA BOSI WAKE PALE UD, KUHUSU ALICHOKIONA, mmh BOSI AKANYANYUA KITU MKONGA (TTCL) MPAKA KWA MKUU WA KAYA.

jamaa kaendelea kutonya: HAPO NDO MAUTI IKAWA ADHABU YAKE !

MMH ILIKUWA MPYA KWANGU NIkaAZIMIA KUWAULIZA GREAT THINKER'S JE! MLISHA ISKIA HII? au imekaaje?
 
jamani wana jf sijui kama nanyi mlisha isikia hii! Nitaanzia mbali mpate picha

juzi baada ya kazi ni niliingia sehemu furani kupata chakula ilikuwa mida ya mchana, kwakuwa ni katikati ya mji kulikuwa na wafanya kazi wengi kidogo pale.

Kama mnavyojua wabongo na story za siasa kwa hivi sasa ni balaa, basi kukawa na kundi furani linazungumzia tume zisizo leta majibu za tanzania, katika matukio mbalimbali. Dada mmoja akauliza hivi ule uchunguzi wa mauaji ya prof aliyeuawa kwa risasi mlangoni kwake nao bado eeh?

Hapa ndipo sasa tittle yangu inapoanzia! Jamaa mmoja kajibu akasema haiwezi letwa habari hiyo hata siku moja kwani:

Yule profesa aliuwawa baada ya kutembelea marekani katika jimbo furani huko alimwona gavana wa b.o.t anayedaiwa kufa, kisha akaja kumwambia bosi wake pale ud, kuhusu alichokiona, mmh bosi akanyanyua kitu mkonga (ttcl) mpaka kwa mkuu wa kaya.

Jamaa kaendelea kutonya: Hapo ndo mauti ikawa adhabu yake !

Mmh ilikuwa mpya kwangu nikaazimia kuwauliza great thinker's je! Mlisha iskia hii? Au imekaaje?
time will tell, ukweli utakuja julikana tu!!
 
Jamani wana JF sijui kama nanyi mlisha isikia hii! nitaanzia mbali mpate picha

Juzi baada ya kazi ni niliingia sehemu furani kupata chakula ilikuwa mida ya mchana, kwakuwa ni katikati ya mji kulikuwa na wafanya kazi wengi kidogo pale.

kama mnavyojua wabongo na story za siasa kwa hivi sasa ni balaa, basi kukawa na kundi furani linazungumzia Tume zisizo leta majibu za Tanzania, katika matukio mbalimbali. Dada mmoja akauliza hivi ule uchunguzi wa mauaji ya Prof aliyeuawa kwa risasi mlangoni kwake nao bado eeh?

hapa ndipo sasa tittle yangu inapoanzia! jamaa mmoja kajibu akasema haiwezi letwa habari hiyo hata siku moja kwani:

YULE PROFESA ALIUWAWA BAADA YA KUTEMBELEA MAREKANI KATIKA JIMBO FURANI HUKO ALIMWONA GAVANA WA B.O.T ANAYEDAIWA KUFA, KISHA AKAJA KUMWAMBIA BOSI WAKE PALE UD, KUHUSU ALICHOKIONA, mmh BOSI AKANYANYUA KITU MKONGA (TTCL) MPAKA KWA MKUU WA KAYA.

jamaa kaendelea kutonya: HAPO NDO MAUTI IKAWA ADHABU YAKE !

MMH ILIKUWA MPYA KWANGU NIkaAZIMIA KUWAULIZA GREAT THINKER'S JE! MLISHA ISKIA HII? au imekaaje?

kwa mtaji huu si wataua wengi sana? Kwa nini wasimuue yeye yakaisha tu?
 
Ndio maana Rost Azi anatawatesa sana,nasikia yeye ndo alitoa concept ya jamaa kifichwa na kuutangazia umma kwa kafa. Juz alimpa mashart wa kaya kuwa asipolipwa hela yake ya dowans atataja kila sirI ya chama na serikali.

na yeye si wakamfiche ama kumtanguliza mbele za haki tu? Kwao si jambo rahisi tu?
 
mkuu mwenye thread hiyo heading haijatulia.......wengine tumekimbilia kufungua kumbe nawe pia unauliza kama uliyosikia ni kweli.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom