THE BRAIN
Member
- Sep 24, 2010
- 39
- 1
kwani alikufa?
Hakufa ndio sababu hakuzikwa!! BUT all in all its our Gvt responsible for Hiddin him
What do u thnc who is bihind all thc?????:rain:cc...
kwani alikufa?
mhuu!mengi yatasemwa!rip daudi balali
Nini hasa lengo la yeye kufanya hayo yote???. Habari hii sidhani kama inawatendea haki ndugu na jamaa wa Balali. Kama habari hii ina ushahidi kamili ni vizuri ikautoa kuliko ku-Gossip. Habari kama hizi zinashusha thamani ya mtandao na kuonekana ni sehemu ya watu kutoa habari zisizokuwa na mashiko. Tuulinde mtandao wetu uwe na ubora kama ambavyo umekuwa ukifanya kila siku.
si kweli kwamba balali anayesemekana ni hayati amefariki.
vyanzo vya habari vya kuaminika vinasema balali aliletwa hapa nchini kwa siri kubwa na kushushiwa Zbar kwa ndege maalum, kisha boti maalum hadi kivukoni, then tinred car followed.
Some sources zinasema amefanyiwa plastic surgery na sasa ni mhindi kwa sura.
kama kawa muhindi, why tinted car?si kweli kwamba balali anayesemekana ni hayati amefariki.
vyanzo vya habari vya kuaminika vinasema balali aliletwa hapa nchini kwa siri kubwa na kushushiwa Zbar kwa ndege maalum, kisha boti maalum hadi kivukoni, then tinred car followed.
Some sources zinasema amefanyiwa plastic surgery na sasa ni mhindi kwa sura.
kwani balali alishakufa??JFs;
Labda kuna ajuaye BAlali aliugua ugonjwa gani hadi mauti yake?eep: