Balali yuko HAI - He is not dead

Status
Not open for further replies.
Huyu jamaa kama yupo hai si ajitokeze tu ili aweze kudhihirisha uongo wa waliomzika !!!
 


mhujumu uchumi kwangu mimi ni mhaini tuh,,
and it doesnt make anykind of difference to me,whether he is alive or he is dead
according to my philosophy he's in hell fire now,,
and the rest will follow..
God bless tanzania...
 
Yaani mtu anakufa tena HIGH PROFILE na MOST WANTED in TZ anazikwa hata PRESIDENT haoni mwili wake mmmmh hapa tulishikwa akili. Bado nina amini huyu jamaa yupo HAI
 
Nina wasiwasi na serikali ya J.K coz sion sababu ya huyu Balaaa kuzikwa US. Ana siri kubwa sn wa uchafu uliofanywa na viongozi makanjanja
 
Alikuwepo yahaya na utabiri wa kufanana na huu cha ajabu akafa yeye na kuwaacha hai aliyowatabilia kifo wakila sembe kiulain.


Tofauti na Yahaya - shekhe (RIP) huyu balali atakufa mara ya pili? maana utabili wa aina hii huandamwa na duwaa za wantanzania kulaan propaganada na utabiri feki na kujikuta mtabili akifa!
 
Awe hai au mfu huko aliko hana amani kbs,imagine ana tofauti gan na mfungwa wa pale segerea?,hata kama ana matilioni lkn kwa style ya kuish kwa kujificha ni adha na adhabu kubwaa kbs,. Tanzania nakupenda!
 
Ebwanaee mkuu huyo bingwa simlizi yake nikama ya mtoto wa chisano alimuua mwn habari, ika sadikiwa kafa kumbe yuko reodejanero ana kula bata
 
Chacha Wangwe aliuwawa kwasababu alijua ukweli wa Daudi Balali na alishakutana naye USA akawa na mpango wa kulipua bomu bungeni
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…